Mashimo ya Mfalme Suleiman

Mkuu bujibuji tafadhali naziomba hizi mambo naomba namna ya kuzipakua kwa maana nikiwa offline niwe naweza kuzisoma
Pia soma hii, ni nzuri sana
 
Attachments

  • Allan Quarterman'.pdf
    956 KB · Views: 61
Bwana bujibuji hii simulizii nimeanza kuifatilia tangu saa 4 usiku mpk hivi sasa saa 9 unusu ninakura daku nimeshikwa na usingizi mnoo ninalala kidogo mpk saa 11 unusu kisha nitakwenda kuswali ALFJIRI
nitaendelea tena saa 12 asubuhi
Ni nzuri inasisimua kadri unavyozidi kuisoma
 
Je naweza kusoma habari za Bwana Allan Quaterman kwa kiswahili? Asante Sana kunikumbusha miaka 40 iliyopita niliposoma vitabu hivi
 
Kitabu kizuri, niliwahi kisoma kitambo kidogo. Kina mvuto sana! Thanks for reminding me.
 
Nakitafuta sana, last time kukisoma nilkuwa primary, nice book yaani.
Ndiyo maana zamani tukipenda sana kusoma vitabu vya hadithi maana zilikuwa zinafurahisha na kukufanya uwaze sana.

Vitabu mfano vya: Invisible man, Dr Jekyll and Mr Hyde, Round the World in eighty days, Treasure island....... sijui vimeishia wapi jamani.
 
Ukivitafuta kwa national library nadhani unaweza viwahi sababu kule wana vitabu vya kitambo sana pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom