Leonce M.M.M.F
Member
- Apr 2, 2011
- 42
- 18
Hellow wana JF. Jamani kuna tetesi kwamba hapa nchini kwetu kuna namba za simu ambazo humilikiwa na mashetani ambapo ukizitumia kwa maana ya kuzipiga wanapokea. Hii imetokea mtaani kwe2 baada ya kijana mmoja jirani kujikuta akiwa matatani kwa kusumbuliwa na watu asiowajua usiku huku wakimpa pesa, na hii yote ni sbb ya ku2mia namba flani ya cm kama asemavyo yeye. Jamani kama kuna m2 amewahi sikia kitu kama hiki atufumbue macho mie yamenishinda.
ni uvumi tu,i personaly once owned a number with six zeros sasa watu wakawa wanapiga ten zeros,xxxx-0000000000 na offcourse inaingia maana inachukua zile first six digits
basi nikipokea wanasema jini limepokea wanaomba pesa au wanaomba uwatabirie maisha,simu nyingi zilikuwa from mwz,shy,zbr na mikoa ya pwani.hakikia ilikuwa usumbufu wa hadi 400 calls per day ikabidi niache kuitumia kwani hata ukitaka kurecharge voucher huwezi kwa jinsi wanavyopiga
kweli wabongo tunapenda uchawi
Hellow wana JF. Jamani kuna tetesi kwamba hapa nchini kwetu kuna namba za simu ambazo humilikiwa na mashetani ambapo ukizitumia kwa maana ya kuzipiga wanapokea. Hii imetokea mtaani kwe2 baada ya kijana mmoja jirani kujikuta akiwa matatani kwa kusumbuliwa na watu asiowajua usiku huku wakimpa pesa, na hii yote ni sbb ya ku2mia namba flani ya cm kama asemavyo yeye. Jamani kama kuna m2 amewahi sikia kitu kama hiki atufumbue macho mie yamenishinda.
Dah!!!ni uvumi tu,i personaly once owned a number with six zeros sasa watu wakawa wanapiga ten zeros,xxxx-0000000000 na offcourse inaingia maana inachukua zile first six digits
basi nikipokea wanasema jini limepokea wanaomba pesa au wanaomba uwatabirie maisha,simu nyingi zilikuwa from mwz,shy,zbr na mikoa ya pwani.hakikia ilikuwa usumbufu wa hadi 400 calls per day ikabidi niache kuitumia kwani hata ukitaka kurecharge voucher huwezi kwa jinsi wanavyopiga
Sasa mkubwa si ukamuulize huyo jirani yako hizo namba alizopiga ili na wewe uwe unaletewa pesa!!
Hellow wana JF. Jamani kuna tetesi kwamba hapa nchini kwetu kuna namba za simu ambazo humilikiwa na mashetani ambapo ukizitumia kwa maana ya kuzipiga wanapokea. Hii imetokea mtaani kwe2 baada ya kijana mmoja jirani kujikuta akiwa matatani kwa kusumbuliwa na watu asiowajua usiku huku wakimpa pesa, na hii yote ni sbb ya ku2mia namba flani ya cm kama asemavyo yeye. Jamani kama kuna m2 amewahi sikia kitu kama hiki atufumbue macho mie yamenishinda.
Ni kweli Graca...mtu anapiga ukipokea anakwambia kesho anasafiri kibiashara umtabirie safari yake,walikua wananiacha hoi kwa kweliril?? Kweli watz tunapenda maisha mteremko. Yaani wanapiga simu kuomba pesa toka kwa jini?