Mashepu ya Ukweli!!!!!!!

Mashepu ya Ukweli!!!!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,112
shepu!!.jpg
Cjui kama ni kweli…Nimeikuta tu sehemu; sio mchoro wangu
 
Aisee hii ya wachaga ni kitu gani hicho???au ni yale mandizi wanayokula??shepu ya simba duuh!!
 
View attachment 82187
Cjui kama ni kweli…Nimeikuta tu sehemu; sio mchoro wangu

Ebu tuacheni utani...mChagga gani ana shepu ka hiyo ya hapo kwenye mchoro, na makabila mengine mangapi wana shepu hiyo?! Snura Mushi? au Jacqueline Wolper Massawe? labda Hoyce Temu! au Saida Kessy? Mmmmh...Shoose Sinare..na nani yulee...sioni!
 
Wallahi nimeipenda shepu ya kichagga!!!!
Na mtu asiyehusika aachane na wanyakyusa maana ukipigwa mkono mmoja tu unaishia MOI.
Ha ha ha!!!
attachment.php
 
Ya kichaga na liluguru zimenchekesha sana,
 
Ngete ii ya warumu yafumia kwi kunu iche rera mbonyi tsa wandu walerumo heleri mrinyi...
 
Ha ha haaaa!!!Lakini hapo kwenye wachaga kuna ka ukweli fulani ingawa si wote lakini wengi wao sura nzuri,kifua kikubwa na miguu spoku.
 
Back
Top Bottom