Utashangaa kuona Dar es salama kila binti ana kishepu siku izi,unajiuliza wanafanyaje wengine wameumbwa hivyo manshallah,Ila wengine huwa creative zaidi.
Mbona kujipa shida tu huko, hakuna jambo zuri kama mtu kukupenda jinsi ulivyo. wadada mungu hakunyimi vyote, kama mbio za hipsi zilikushinda basi za face ulifanikiwa, hakuna anayenyimwa vyote. ishi kwakujiamini khaaa!!!