Wewe kwa akili zako ni hatua gani ambazo wamechukuliwa? Je kuwekwa rumande over the years hizo ni hatua? Mahakama zinafanya kazi gani?Kwa hiyo waachwe wasichukuliwe hatua kisa tu wanatumia mwamvuli wa dini kuingiza ugaidi?? Sheria haiwezi kuwatetea magaidi
Misungwi ndo wap mkuuKwen
Hata sisi huku misungwi tunaamini hivyo.
Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.
Hakuna mtu anayesema waachiwe... Ila kuendelea kuwashikilia bila kuwapeleka mahakamani siyo sawa pia...
Kama kweli wana makosa ni kwanini hawapelekwi mahakamani?
Exactlyhuwezi kumtetea gaidi wa dini yoyote ile anaetaka kuvuruga amani ya nchi yetu.
Ni kweli kabisa
Kwa katiba yetu ni mahakama pekee inayotakiwa kutoa hukumu na sivingenevyo. Sasa wewe umesha wahukumu na kuwapa adhabu, hiyo si sawa.
Kikwete haendeshwi na uisilamu pekee, alitakiwa yeye na baadae JPM wahakikishe hawa watu wanapelekwa mahakamani na kesi inaendeshwa kwa mchakato wa haki, hukumu ipatikane. Hiyo ndiyo due process of law.
Wewe nina wasiwasi ndio unaeongozwa na hihemko kwani unatupilian mbali sheria zetu na kuwahukumu watu kwa hisia. Huoni hata umuhimu wa wao kupitia mkondo wa sheria zetu.
Kweny kiapo cha urais wa kikwete kilisema , alisema "nitailinda amani ya nchi kwa hali na mali "
Ao jamaa zako waligusa "kiapo cha urais wa kikwete " kwa maana ya kwamba walitaka kupindua kiapo chake , so zawadi hyo
Wasahauni tu .
Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Ni kwa usalama wao na wa nchi pia.Kwa hyo ww unaona sahihi wanachofanywa kisa wamegusa sehemu ambayo sio sahihi kwa mtazamo wako???
Wapi nimesema wateswe? uwe unasoma comment na kuzielewa vizuri kabla hujaamua kujibu lolote,rudia tena kusoma comment yangu #46 uliyoiquote.!
!
Kukaa tu ndani kwa muda wote huo bila kupelekwa mahakamani ni mateso tosha. Unataka watesweje zaidi ya hapo.
Watapelekwa ushaidi ukikamilika.Kesi Kama hizo lazima zichelewe kwa sababu ya kutafuta chanzo.Hakuna mtu anayesema waachiwe... Ila kuendelea kuwashikilia bila kuwapeleka mahakamani siyo sawa pia...
Kama kweli wana makosa ni kwanini hawapelekwi mahakamani?
Zanzibar pametulia kwa sasa, ule ujinga wa kuchoma makanisa na kumwagia watu tindikali umeisha. Pamoja na baadhi ya shutuma anazopewa JPM, kuna mambo yamenyooka vizuri kwa sasa.Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Hata kwa sasa wakiachiwa watakuwa wamejifunza vizuri mipaka iliyo kati ya dini na siasa.Umechanganya,,uamsho walikuwa wamebase Zanzibar na tatizo lilianza walipoanza kuniingiza kwenye siasa na kuhoji muungano,kabla ya Happ,uamsho ilikuwa ni taasisi yenye Hadi registration Kama sikosei
Watapelekwa ushaidi ukikamilika.Kesi Kama hizo lazima zichelewe kwa sababu ya kutafuta chanzo.
Kwa hiyo wewe unaona ni sahihi tu hao watu kuendelewa kushikiliwa kwa miaka mingi bila kupelekwa mahakamani?Zanzibar pametulia kwa sasa, ule ujinga wa kuchoma makanisa na kumwagia watu tindikali umeisha. Pamoja na baadhi ya shutuma anazopewa JPM, kuna mambo yamenyooka vizuri kwa sasa.
uwe na majibu ya maswali haya... lini walipelekwa mahakamani na nini kinaendelea....
Lakini kumbuka wale ni binaadamu kama wewe na fahamu hii dunia ni njia hakika M'mungu ndie hakimu muadilifu sisi sote mwisho wetu kaburini na ndio mwisho wa maringo yetuWaache wabaki hukohuko wasije wakaliamsha huku
Kwa waislamu kuna mipaka kati ya dini na siasa lakini kwa kanisa wao ruhusa kusema chochote kile fuatilia kanisa la kkktHata kwa sasa wakiachiwa watakuwa wamejifunza vizuri mipaka iliyo kati ya dini na siasa.
Mwanza.Misungwi ndo wap mkuu