Dini zililetwa kwa viumbe wenye akili siyo vichaa unajua kwa nini ? Wewe unashindwa kutumia akili .... nimesha kuonyesha sana na nikakuambia kasome upya injili zote kwa kuzingatia fafanuzi yangu ....ndiyo maana yesu anasema alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata yohana mbatizaji anamshuhudia yesu kuwa π ajaye nyuma yangu ni mkubwa kuliko mimi kwa maana alikuwako kabla yangu .....yohana mbatizaji kimwili alizaliwa miezi 6 mbele ya Yesu ....soma injili yote inathibitisha haya ninayo fundisha ambayo hata wakristo wa makanisani awayajui bali wanadanganywa na mitume feki kama mlivyo danganywa nyinyi na muhammad ambaye alikuwa hajui hata NENO MTUME NI NINI ?Tatizo lako unatumia maneno yako bila ushahidi wa maandiko wapi waliposema kuwa Yesu asemapo mwana anamaanisha mwili na akisema baba anamaanisha nafsi yake
Na kama baba ni roho na mwana ni mwili na roho mtakatifu tuseme ni nini?
Hata wewe ni mwili na nafsi ...tofauti ni kwambaNi wapi Yesu alikwambia nilipotawazishwa mavi nilikuwa ni mwili na nilipokamatwa na kijana aliyekuwa uchi pale kwenye vichaka vya Gesthemane nilikuwa nafsi , au hayo ni mafundisho ya Nabii wako Tito?
Kwa nini nisome Injili kwa kuzingatia fafanuzi zako? Wewe ni nani katika fini yenu? Unasema Mtume alikuwa hajui maana ya utume je,wewe unajua maana ya utume?Dini zililetwa kwa viumbe wenye akili siyo vichaa unajua kwa nini ? Wewe unashindwa kutumia akili .... nimesha kuonyesha sana na nikakuambia kasome upya injili zote kwa kuzingatia fafanuzi yangu ....ndiyo maana yesu anasema alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata yohana mbatizaji anamshuhudia yesu kuwa π ajaye nyuma yangu ni mkubwa kuliko mimi kwa maana alikuwako kabla yangu .....yohana mbatizaji kimwili alizaliwa miezi 6 mbele ya Yesu ....soma injili yote inathibitisha haya ninayo fundisha ambayo hata wakristo wa makanisani awayajui bali wanadanganywa na mitume feki kama mlivyo danganywa nyinyi na muhammad ambaye alikuwa hajui hata NENO MTUME NI NINI ?
Ili uone ninacho eleza ni sahihi au la ....ukisoma kwa kuzingatia fafanuzi yangu maana yake unatazama kama zinaleta migongano au zinaleta unyoofu ...nikama kufanya proof kwenye mathematicsKwa nini nisome Injili kwa kuzingatia fafanuzi zako? Wewe ni nani katika fini yenu? Unasema Mtume alikuwa hajui maana ya utume je,wewe unajua maana ya utume?
Hata wakristo mamboleo hawajui maana ya MTUME ...mimi ningekuwa sijui nisinge toa hii hoja ...kama Muhammad angelikuwa anajua maana ya mtume au mitume basi asinge toa hii kahuri πWAISLAMU NDIO UMA BORA KULIKO NYUMA ZOTE.ππkii kahuri niliwai kumpiga nayo muislamu mmoja hapa JF alikimbia uzi sijui ni nani au Malaria 2 sikumbuki vizuri πKwa nini nisome Injili kwa kuzingatia fafanuzi zako? Wewe ni nani katika fini yenu? Unasema Mtume alikuwa hajui maana ya utume je,wewe unajua maana ya utume?
Wanasema Amani itawale na madai ya haki baadaue.
Kuna mtu ame hack account ya Mshana Jr .Kikubwa amani.. Mengine ni chuki binafsii kutokana na jinsia imani na asiliπ
Angalia hata ukifanya mijadala na waislamu unagundua hawana elimuMasheikh shule ndogo hata masuala madogo ya msingi kutatua kichwani hawawezi.
Waislamu hata kwenye mijadala unaona ni viazi tu, ndio na masheikh wao wapo hivo hivo
Wana vichwa vigumu, reference angalia masheikh wao ambao ndio wanawaongozaAlisema mwana hajui ila baba yaani mwili wake haujui ila nafsi yake ....Yesu asemapo mwana umaanisha ule mwili wake na asemapo baba umaanisha nafsi yake ....soma fafanuzi nilizo kupa nyuma .. wewe unashida ya kuunganisha logic ...nimekufafanulia vizuri huko nyuma kuwa neno Yesu ni mambo mawili
1)Mwili(yaani mwana)
na
2)Nafsi(yaani baba)
SASA YESU ANASEMA .. ππMWANA HAJUI ILA BABA.
Amani au kuwajaza watu UOGA?Kipaumbele AMANI aha ha ha a ha π π€£
Unapoteza muda na huyo, hawataki kutumia akil,kashamezeshwa na muhamad,kuwa Yesu ni mtu tuDini zililetwa kwa viumbe wenye akili siyo vichaa unajua kwa nini ? Wewe unashindwa kutumia akili .... nimesha kuonyesha sana na nikakuambia kasome upya injili zote kwa kuzingatia fafanuzi yangu ....ndiyo maana yesu anasema alikuwako kabla ya Ibrahimu na hata yohana mbatizaji anamshuhudia yesu kuwa π ajaye nyuma yangu ni mkubwa kuliko mimi kwa maana alikuwako kabla yangu .....yohana mbatizaji kimwili alizaliwa miezi 6 mbele ya Yesu ....soma injili yote inathibitisha haya ninayo fundisha ambayo hata wakristo wa makanisani awayajui bali wanadanganywa na mitume feki kama mlivyo danganywa nyinyi na muhammad ambaye alikuwa hajui hata NENO MTUME NI NINI ?
Hii elimu wanaijua wachache , nikupe hongeraHata wewe ni mwili na nafsi ...tofauti ni kwamba
1) wewe ni nafsi ya binadamu kwenye mwili wa binadamu.
2)Yesu ni nafsi ya Mungu kwenye mwili wa binadamu....usio na nafsi ya binadamu .
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya Mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi mbili ndani ya mwili mmoja)
Kasome kwanza injili kabla ya kuja tena kwenye kuuliza maswali ....Nini maana ya Mtume?
Soma ...maandiko haya semi Yesu ni πMfalmeWewe hizo fafanuzi zako unazitoa wapi mbona huzithibitishi kwa maandiko
Sasa watatawadha na nini??Masheikh shule ndogo hata masuala madogo ya msingi kutatua kichwani hawawezi.
Kichwa panzi wewe ...baba =nafsi ya Yesu ...Kumbe kuna Mfalme aliye juu yake yeye Luka 22:29
Yani muhammad asijue wewe ndiyo ujue πππππInjili nimesoma sana wewe jibu nini maana ya Mtume sio kwamba sijui