😀Huyu wakoloni hawakufanikiwa kum brain wash.
Uwakili shughuli za kikoloni. Simu,magariHuyu wakoloni hawakufanikiwa kum brain wash.
Ufufuo upi unaozungumziaHayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo Ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno