Ndo nini kusema utatugaramia tukusindikize afu umeenda kimya kimya?
Kwani mi jiwe?mbona hukunambia nami nilikuwa nimejiandaa?Kuna watu tumeenda nao wamo humu humu JF nadhani wakiona uzi huu watatoa maelezo yote.
mnyarwanda gani? Mtutsi? Hawazaagi na wasio wayahudi weusi. Ukioa tu, utatembelewa na mjomba wake, kumbe ndo kaja kutia mimba hivyo.
Wewe utakuwa baba mlishi tu.
Leo ndio umekumbuka kuwa usukumani nako kuna wanawake?
Nenda tu kwa ardhi ya Kagame,mtoto mwenyewe wala hatokuwa wako kwanza unaumia bure!!!
Bint atawezeshwa na shingo ndefu wenzie,we mchango wako ni kusindikiza clinic tu na kumtoa upweke mama kijacho!
mnyarwanda gani? Mtutsi? Hawazaagi na wasio wayahudi weusi. Ukioa tu, utatembelewa na mjomba wake, kumbe ndo kaja kutia mimba hivyo.
Wewe utakuwa baba mlishi tu.
Kudadeki walahi! Kweli hiyo? Kuoa nioe mie mbegu apande mwingine! Majanga