Mashamba yanauzwa Morogoro

bigjeff

Senior Member
Oct 25, 2009
111
22
Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
 
we lako au ulivamia pori haccha hizo wewe mi nalijua hilo lilikuwa pori umevamia leo unaliuza nakuja kukukamata nikutumbue.
 
kaka nashukuru kwa kuonyesha interest unaweza kunipigia tukaongea zaidi shamba ni kubwa hectares zaidi ya 50,(70*70) ni 450,000Tzsh
 
Ongeza nyama kwenye tangazo lako mkuu, weka status ya shamba, Lina miti ya Asilia au limesafishwa, pia ongelea umbali kutoka morogoro usiseme mtu ataenda kwa pikipiki. Maana kwa namna nnavyojua kiyegea ni mbele ya magole ( njia panda ya Turiani) ambapo ni 60km kutoka Msamvu, sina kumbukumbu vizuri ila pia inaweza kuwa mbele ya kwambe. Kwa namna hiyo kumwambia mtu apande Bodaboda ni kumtakia kifo.
 
wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
 
wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
Thanks kaka nashukuru sana
 
Thanks kaka nashukuru sana

Mheshimiwa tuelewane hapa mi nakuja nawabeba na jamaa wa ardhi manispaa hapo sasa kama sio sehemu sahihi i mean kama haijapangwa kwa ajili ya makazi au umevamia gharama za hao jamaa wa manispaa utalipa wewe na kama liko vizuri tunafanya biashara hapohapo
 
kaka habari kama wewe mnunuzi unaruhusiwa kufanya chochote kuwakikisha sehemu ni halali watu washakuja nakuona sehemu na kuongea na wenyeji washajichukulia vipande vyao..najua matatizo ya ardhi ni mengi nchi yetu hii
 
wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
Ww vipi? Mwenye shamba kasema maji hakuna, ww unasema maji yspo!!
 
Ww vipi? Mwenye shamba kasema maji hakuna, ww unasema maji yspo!!
kaka kwema kakwambia nani hamna maji..huyo mteja kafeka nakachukua sehemu yake tuwe wakweli nakama atuwezi tuwapishe wanaoweza
 
Nna heka zangu mbili pale kiegea nasubiri bei ipande kdg ntakuja tangaza biashara..
 
kaka nashukuru kwa kuonyesha interest unaweza kunipigia tukaongea zaidi shamba ni kubwa hectares zaidi ya 50,(70*70) ni 450,000Tzsh
Yaani heka moja ya 70x70 ndio unauza kwa 450,000??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom