Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Habari yako ndugu yangu..
Naomba tufahamishane kwa wale wenyeji wa Mbeya pamoja na wanao ifahamu kiasi, ni maeneo gani ndani ya Mbeya naweza Kodi shamba hasa kwa kilimo cha umwagiliaji cha mahindi.
Vilevile napenda tufahamishane kuhusu mazao rafiki kwa maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa Mbeya kama Viazi n.k
Natanguliza shukurani, karibu