Vipi kuhusu vitunguu maji huwa vinakubali.50,000 kwa ekar yanafaa kwa mahindi, maharage alizet na viaz vitamu unyevu upo wa kutosha ila pembezon kuna mto pia karibu
Nahitaji ya kununuaHabarin wakuu!
Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa wilaya ya kalambo kijiji cha katuka karibu uwekeze kwenye kilimo kama upo interested mawasiliano yangu haya hapa 0766665515