Unataka shamba kenye mikorosho tayari ama unataka pori ufeyeke upande mikorosho?
Kama unataka shamba lenye mikorosho tayari jipange kwa hela nzuri..mana hayo mashamba ndio uchumi wao..na wengi wanao uza wanauza mikorosho iliyozeeka mana haina uzalishaji..au wanauza kwa shida.
Muda mzuri wa kununua ni kipindi cha mwanzo wa mwaka..sashibi wengi wameanza kupulizia dawa..hivyo ni mpaka ubahatishe.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using
Jamii Forums mobile app