Mashamba Morogoro (Maeneo ya Kiegea)

bigjeff

Senior Member
Oct 25, 2009
111
22
Shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki panaitwa Bwawani unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni,Nashukuru kwa waliokuja nakufanya biashara nao na pia walionyesha interest ya kurudi tena.

NB:wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
 
Morogoro na migogoro yote hiyo
 
Niko interested unauza hela ngapi kwa ekari moja?
Hekari inaanzia 400,000 lakini tunaweza kuongea na idadi ya heka unazoitaji,na vizuri sehemu uitembelee uione na uwone watu wanafanya nini na bei za hapo kwa ujumla , Asante sana kaka
 
Shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki panaitwa Bwawani unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni,Nashukuru kwa waliokuja nakufanya biashara nao na pia walionyesha interest ya kurudi tena.

NB:wandugu changamkien fursa hiyo hasa vijana hiyo sehemu nimefika mmiliki hana mgogoro na yeyote,sio mbali na mjini,barabara ya gar had shamban,ardhi saafi na maji yapo
Wewe ni tapeli. Huwezi kuuza eneo bila kikao. Wadanganye wajinga.
 
Nashukuru kaka kwa Tusi lako nakutana na wengi kama nyie,sema nashukuru Mungu sinaga matandizo nanyie,hicho kikao si dhani kama ulikitaji kikakosekanika na sidhani kama unajua eneo lenyewe but that's ur opinion's mate,Thanks
 
Ni Maeneo Ya Makazi Au Kilimo!!?? Kama Ni La Kilimo Pekee, Je La Makazi Nayo Ikoje Mkuu!!?
 
Hekari inaanzia 400,000 lakini tunaweza kuongea na idadi ya heka unazoitaji,na vizuri sehemu uitembelee uione na uwone watu wanafanya nini na bei za hapo kwa ujumla , Asante sana kaka
Asante nitakutafuta!
 
Na mimi nilijichanganya nikanunua ekali 10 Miaka 3 iliyopita, mbona najuta. Ni hapo bwawani, masai anadai eneo ni la kwake, hana doc zozote. Full mzozo. Kiufupi sishauri mtu kwenda kununua kule bado hapajatulia.
 
Nashukuru kaka kwa Tusi lako nakutana na wengi kama nyie,sema nashukuru Mungu sinaga matandizo nanyie,hicho kikao si dhani kama ulikitaji kikakosekanika na sidhani kama unajua eneo lenyewe but that's ur opinion's mate,Thanks
mkuu ntakutafuta. Usijali watu wengine uwaga wanatumia vitu vikali hivyo lugha zao ni gongana.

Ili vizuri kumjibu kila mtu kwa hekima vizuri sana.
 
Back
Top Bottom