Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,985
Bondia Thomas Mashari kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.
Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata pointi 96, 93 na 93[/QUOTE warudie hili pambano mashali atachonga sana
kumbe alitoka jela

Kwa Points Hizo Hata Cheka Atachonga, Kuwa Mashali Amebebwa! Ilikuwa KO!!! Ila Mashali Amejitahidi Na Nadhani Wkt Wa Enzi Za Cheka Unakaribia Mwisho, Kama Ilivyokuwa Kwa Akina Matumla (RASHID MATUMLA, MBWANA NA HAJJI MATUMLA!!!
Mh! hapo kwenye point sielewagi kabisa
cheka sasa hivi hana kitu hata mie namdunda
Wajifunze kumaliza Mapambano Kwa KO hivyo vipoint kiduchu lazima Cheka achonge sana.Kwa Points Hizo Hata Cheka Atachonga, Kuwa Mashali Amebebwa! Ilikuwa KO!!! Ila Mashali Amejitahidi Na Nadhani Wkt Wa Enzi Za Cheka Unakaribia Mwisho, Kama Ilivyokuwa Kwa Akina Matumla (RASHID MATUMLA, MBWANA NA HAJJI MATUMLA!!!
Ni bora angempiga KO ungeleta maana kubwa zaidi Hizo point alizoshindia ni ndogo sana.