MAXIMO APEWA POLISI 15: Ni baada ya kukutana na hali ya sintofahamu pale mamia ya mashabiki wa Yanga walipomzunguka wakati wa mazoezi Uwanja wa Bandari, Dar!
Acheni unafiki Maximo ni mmoja wa makocha wa kiwango cha juu kupata kufundisha hapa Tanzani, fuatilieni link hii muone kama anafanana na Logarusic au Julio Márcio Máximo - Wikipedia, the free encyclopedia