Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

just acha kama ilivyo so long Uhusiano hauharibiwi kwa yeye ( mkeo) kuwa jf
 
Kwani wewe mwizi? na kwa nini asijiunge humu JF maana is free na is where people talk waziiiiiiiiiii.....Hata ****** mbona yupo humu ingawa magamba wanaisema sana JF.....Wakaribishe kibao tu....mie wife yumo,dada zangu wamo,kaka zangu wamo marafiki wangu wamo mfano Afrodenzi,Aspirin babu, Babu ataka kusema, Krolokwini ni wengi tuuuuuuuuuuuuuuu....
 
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...Huyu ni Y katika KISA changu cha X na YNifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi
Shukuru Mungu sie twampa ushauri wa kujenga mahusiano yenu! Angejiunga na facebook au G5-Click wangemtongoza!
 
Ameshampata huyo mpenzi wake anaitwa Lady who! Ana thread moja ya Fisadi wa mapenzi naona wameshaanza kumaliza tofauti zao huko.
 
Acha kutuzingua sema thread unayohis inakupa tabu. kama unaona aibu nenda chemba ya KAIZER mwambie ili akupe ushauri wa kikomputa zaidi. hahahaha Kaizer kaka usikarike juzi umenifanya kucheka usiku mzima.
 
Ndg yangu utajipa pressure bure, we tulia! Ila inaonekana haum-treat fairly ndo maana unakuwa na wasiwasi yeye kujiunga na JF kwani unajua ataelemishwa.
 
Shukuru Mungu sie twampa ushauri wa kujenga mahusiano yenu! Angejiunga na facebook au G5-Click wangemtongoza!
Ningekufa kwa Pressure hakika,ila kuna siku nimeona Speaker kama anamtongoza vile
 
wewe mpe tigo halafu mwambie huo ni ushauri nimeupata kutoka Jf, halafu mwangalie machoni
 
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.
Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...
Huyu ni Y katika KISA changu cha X na Y
Nifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi


Una amanisha huyu alieanzisha hii sredi?
[h=3]Kutumia kondom ni njia mojawapo ya kutokuwa na upendo wa dhati?[/h]
 
Ningekufa kwa Pressure hakika,ila kuna siku nimeona Speaker kama anamtongoza vile
Speake ile Avatar yake inakonyeza nadhani shemeji kadata nae teh! Kaka komaa nae, mpe ujauzito then muunge urafiki na lizzy!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom