Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
kweli. tatizo la nchi yetu akianzwa Ponda atafuata dk slaa. Maana juzi waislam walipigwa katika maandamano. jana tukawaona wanafunzi wa IFM wakitandikwa vigogo. UNAFIKI WETU NDIO UNAOPFIKSHA HAPAPonda dawa yake kumpiga na mada kesi aozee hukohuko jela
Acha kuchanganya mada! Lengo lako si kujadili kesi ya Ponda bali hayo matatu uliyooredhesha!
Sina matatizo na uislam wala waislam maana zaidi ya yote mzazi wangu mmoja ni muislam lakini ki ukweli Ponda, Ilunga na sheikh Farid huwa akili yangu inakataa kuwaamini, wacha akae kidogo huko ndani maana hata sasa kila mtu anaona, tangu ametulizwa huko ijumaa inatumika kwa swala badala ya vurugu! Acha pumzishwe tu
Sina matatizo na uislam wala waislam maana zaidi ya yote mzazi wangu mmoja ni muislam lakini ki ukweli Ponda, Ilunga na sheikh Farid huwa akili yangu inakataa kuwaamini, wacha akae kidogo huko ndani maana hata sasa kila mtu anaona, tangu ametulizwa huko ijumaa inatumika kwa swala badala ya vurugu! Acha pumzishwe tu
MY TAKE.
KWELI PONDA KASHTAKIWA KWA KOSA LA KIWANJA MBONA ANANYIMWA DHAMANA. MBONA ANAFUNGWA PINGU? AU MFUMO UPO KAZINI?
MAANA UKITAKA KUKERA MFUMO FANYA HAYA
1)Likemee BAKWATA. uKIFANYA HAYO UTAENDANA NA DHANA NZIMA YA UUNDWAJI DHIDI YA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WAISLAM
2)Hoji utendaji wa NECTA. Hapa utawakera wale wanaofaidi ambao wengi wapo katika system
3)zungumzia OIC na hoji Vatican na MOU.
kwa hiyo kumbe haki inatendeka,waislam wanaofanya madudu kipigo,wanafunzi wakifanya madudu kipigo,wakristo wakijichanganya kipigo; sasa wewe unacholalamika nini kama mwalimu kachapa darasa zima?kwa hiyo kumbe wewe unaridhishwa na jinsi muendesha mashtaka tumaini kweka (mkristo) anavyoendesha kesi kwa kuwabana waliompeleka ponda mahakamani ee? sasa kwa nini tusiiachie mahakama mpaka mwisho kinyume chake tumekaa pembeni tunafufutika!kweli. tatizo la nchi yetu akianzwa Ponda atafuata dk slaa. Maana juzi waislam walipigwa katika maandamano. jana tukawaona wanafunzi wa IFM wakitandikwa vigogo. UNAFIKI WETU NDIO UNAOPFIKSHA HAPA
Hapo kwenye OIC nikutolee mfano. Kama kungekuwa na organization ya nchi za kikristu...na lengo lao ni pamoja na kueneza ukristu na mambo yake mengine. Wewe kama muislam ungekubali Tanzania ijiunge na organization hiyo? Jibu nadhani ni hapana.Mashahidi wa tatu na nne upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, jana walijichanganya baada ya kushindwa kuieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wanakifahamuje kiwanja cha Bakwata cha Marcus Changombe walichobadilishana na Kampuni ya Agritanza Limited na kupewa kiwanja cha Kisarawe.
Mashahidi hao ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Masood Mkome (72), Bakwata pamoja na Meneja Ujenzi wa Kampuni ya Agritanza Limited Hafidh Seiph Othman (42).
Mkome aliulizwa maswali na Wakili wa Serikali Tumaini Kweka kama ifuatavyo:
Wakili: Umekuja mahakamani kuongelea mabadilishano kati ya kiwanja cha Marcus kuwa cha Agritanza, shahidi unakumbuka tarehe mliyobadilishana?
Shahidi: Sikumbuki mwaka wala tarehe kwa sababu siwezi kujua kila kitu.
Wakili:Wewe kama Mwenyekiti mnapata wapi mamlaka ya kiutendaji,na ilikuaje kuhusu eneo la Marcus Chang'ombe?
Shahidi: Tulipata nguvu katika Baraza la Wadhamini la Ulamaa.
Wakili: Mnasema mlibadilishana kwa njia gani?
Shahidi: Muulize Katibu Mkuu Said Loniwa kutoka Baraza la Wadhamini ndiye Katibu Mkuu wa Baraza na ndiye mwenye mafaili yote.
Wakili wa Juma Nasoro wa upande wa utetezi naye alimhoji shahidi kama ifuatavyo:
Wakili: Wewe kama shahidi umewahi kufika katika kiwanja cha Kisarawe mlichobadikishana na Agritanza?
Shahidi: Sijawahi kufika ila kuna baadhi ya watu wa baraza la wadhamini wameenda na siwafahamu kwani kipindi hicho sikuwepo.
Wakili: Je, unao muhtasari wowote au maandishi yanayoonyesha mkataba mlioingia na kampuni ya Agritanza?
Shahidi: Siwezi kujua vitu vipo kwenye mafaili na muhifadhi ni Katibu Mkuu na siwezi kukumbuka kila kitu hata wewe huwezi ila unajua kuuliza tu.
Wakili wa utetezi, Yahaya Njama alipomhoji, shahidi aligoma akidai ni maswali mengi, lakini hakimu alimuamuru ayajibu.
Wakili:Wewe ni kabila gani?
Shahidi: Sisi wote ni Watanzania na usiniulize mambo ya ukabila.
Wakili: Nyie mlikuta kimeuzwa mkamalizia je,wanachama wenu ambao ni Waislamu watawaaminije na wakizuia kuuzwa watakuwa na kosa?
Shahidi aliiambia mahakama kuwa waliopoteza uaminifu hawapo na alipoulizwa swali amekuja kufanya nini mahakamani wakati hajui mshtakiwa wala mshtaki, alidai kuwa alikwenda kutoa ushahidi wa kubadilishana kiwanja.
Shahidi wa pili, Hafidh Seiph alidai kuwa ndiye aliyeenda polisi Chang'ombe baada ya kuvamiwa na kuibiwa.
source: nipashe
MY TAKE.
KWELI PONDA KASHTAKIWA KWA KOSA LA KIWANJA MBONA ANANYIMWA DHAMANA. MBONA ANAFUNGWA PINGU? AU MFUMO UPO KAZINI?
MAANA UKITAKA KUKERA MFUMO FANYA HAYA
1)Likemee BAKWATA. uKIFANYA HAYO UTAENDANA NA DHANA NZIMA YA UUNDWAJI DHIDI YA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WAISLAM
2)Hoji utendaji wa NECTA. Hapa utawakera wale wanaofaidi ambao wengi wapo katika system
3)zungumzia OIC na hoji Vatican na MOU.
Mashahidi wa tatu na nne
upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda,
jana walijichanganya baada ya kushindwa kuieleza Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu wanakifahamuje kiwanja cha Bakwata cha Marcus Changombe
walichobadilishana na Kampuni ya Agritanza Limited na kupewa kiwanja cha
Kisarawe.
Mashahidi hao ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Masood Mkome (72),
Bakwata pamoja na Meneja Ujenzi wa Kampuni ya Agritanza Limited Hafidh
Seiph Othman (42).
Mkome aliulizwa maswali na Wakili wa Serikali Tumaini Kweka kama
ifuatavyo:
Wakili: Umekuja mahakamani kuongelea mabadilishano kati ya kiwanja cha
Marcus kuwa cha Agritanza, shahidi unakumbuka tarehe mliyobadilishana?
Shahidi: Sikumbuki mwaka wala tarehe kwa sababu siwezi kujua kila kitu.
Wakili:Wewe kama Mwenyekiti mnapata wapi mamlaka ya kiutendaji,na
ilikuaje kuhusu eneo la Marcus Changombe?
Shahidi: Tulipata nguvu katika Baraza la Wadhamini la Ulamaa.
Wakili: Mnasema mlibadilishana kwa njia gani?
Shahidi: Muulize Katibu Mkuu Said Loniwa kutoka Baraza la Wadhamini
ndiye Katibu Mkuu wa Baraza na ndiye mwenye mafaili yote.
Wakili wa Juma Nasoro wa upande wa utetezi naye alimhoji shahidi kama
ifuatavyo:
Wakili: Wewe kama shahidi umewahi kufika katika kiwanja cha Kisarawe
mlichobadikishana na Agritanza?
Shahidi: Sijawahi kufika ila kuna baadhi ya watu wa baraza la wadhamini
wameenda na siwafahamu kwani kipindi hicho sikuwepo.
Wakili: Je, unao muhtasari wowote au maandishi yanayoonyesha mkataba
mlioingia na kampuni ya Agritanza?
Shahidi: Siwezi kujua vitu vipo kwenye mafaili na muhifadhi ni Katibu
Mkuu na siwezi kukumbuka kila kitu hata wewe huwezi ila unajua kuuliza
tu.
Wakili wa utetezi, Yahaya Njama alipomhoji, shahidi aligoma akidai ni
maswali mengi, lakini hakimu alimuamuru ayajibu.
Wakili:Wewe ni kabila gani?
Shahidi: Sisi wote ni Watanzania na usiniulize mambo ya ukabila.
Wakili: Nyie mlikuta kimeuzwa mkamalizia je,wanachama wenu ambao ni
Waislamu watawaaminije na wakizuia kuuzwa watakuwa na kosa?
Shahidi aliiambia mahakama kuwa waliopoteza uaminifu hawapo na
alipoulizwa swali amekuja kufanya nini mahakamani wakati hajui mshtakiwa
wala mshtaki, alidai kuwa alikwenda kutoa ushahidi wa kubadilishana
kiwanja.
Shahidi wa pili, Hafidh Seiph alidai kuwa ndiye aliyeenda polisi
Changombe baada ya kuvamiwa na kuibiwa.
source: nipashe
MY TAKE.
KWELI PONDA KASHTAKIWA KWA KOSA LA KIWANJA MBONA ANANYIMWA DHAMANA.
MBONA ANAFUNGWA PINGU? AU MFUMO UPO KAZINI?
MAANA UKITAKA KUKERA MFUMO FANYA HAYA
1)Likemee BAKWATA. uKIFANYA HAYO UTAENDANA NA DHANA NZIMA YA UUNDWAJI
DHIDI YA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WAISLAM
2)Hoji utendaji wa NECTA. Hapa utawakera wale wanaofaidi ambao wengi
wapo katika system
3)zungumzia OIC na hoji Vatican na MOU.
kaka, umenena.
wanaochochea uhasama hawajui kuwa tanzania karibu kila nyumba ina mkristo na mwislamu.
Kuwagawa waislamu na wakristo lazima uonekane mjinga wa kwanza Tanzania.
Sina matatizo na uislam wala waislam maana zaidi ya yote mzazi wangu mmoja ni muislam lakini ki ukweli Ponda, Ilunga na sheikh Farid huwa akili yangu inakataa kuwaamini, wacha akae kidogo huko ndani maana hata sasa kila mtu anaona, tangu ametulizwa huko ijumaa inatumika kwa swala badala ya vurugu! Acha pumzishwe tu