MASHADA forum suspended..

check this out.It took a Kikuyu 5 yrs to reverse 24 yrs of mismanagement by Kalenjins.Luos claim to be smart but one has to wonder that in 40 yrs of throwing stones why can't they use their
self-imposed genius to design some space age stone thrower??

the problem is, you are talking interms of "devisim" politics,why dont you say that, Moi administration, or kenyatta administration,or kibaki administration did this or that, instead you just attribute these things whether be achievement or failure to tribalism, while you are quite sure that whatever the case the whole situation happened under one self governing kenya?.How could the economy grow without consumers who are from all tribes?, how could the economy grow if there were no tax payers who are all Kenyans?. so you tell me my Friend Kenya belongs to whom?. is it easy to blame a tribe, a single tribe for the problems facing the country?
 
check this out.It took a Kikuyu 5 yrs to reverse 24 yrs of mismanagement by Kalenjins.Luos claim to be smart but one has to wonder that in 40 yrs of throwing stones why can't they use their
self-imposed genius to design some space age stone thrower??

I am very poor at engaging in a debate based on ethnocentrism and this snobbish way of looking at things; so for a while I am out, ngoja nikasome mambo ya Kiteto.
 
Matatizo,

Why do you argue on the basis of Ukabila? In whose benefit? Sisi Watz we are not used to argue that way!

Naona Kenya had a proplem of nation building from Kenyatta era- and concentrated so much on uchumi -Nyerere did much in 1st 20 years in nation building through JKT, use of Swahili, Azimio la Arusha etc.

Angalia hata Ivory Coast used to be Economic Hub of West Afrika- leo they are in crisis- nation building problems!

I think nation building blocks are foundation things to a prosperous Kenya!

Nope.Don't think so.Tanzania is just as tribal.What u got is the CCM that has u all wrapped up on it's finger.Just like Kenya had KANU.Once that finger snaps,then the tribal face will boldly arise.Do not flatter urselves people.
 
Matatizo ,

To claim that Kikuyu's are the one who turn the economy around is below the belt. That statement exposed your myopia!
How else could u explain Kenyas prosperous economy under the Kikuyu founding father Kenyatta.Then we get a Kaleo that is Moi an Kenya lives thro 2 decades of complete hopelessness.So we get a Kikuyu back in charge.But when things are starting to get organised,in come the spoilers as they have always done since forever.The Odingas an the Luo herd mentality.U Tanzanians have no idea.The Luo is one stubborn people.They don't believe in an honest day of work.They live for welfare.They exist next to the second biggest freshwater lake in the world but the significance of it is negligible to the economy.Coz all they do is sit by it,whine howl an cry of hunger while the fish swim by.Their neigbors,the Kisiis are famous with the bananas an all kinds of fresh produce.The Luhyas to their north are great sugarcane growers an maize farmers.The current crisis in Kenya is not based on hate,but on a people thinking that somebody owes them something.
 
Matatizo.

Jina tu linaashiria wewe ni mtu wa namna gani.

Tumevamiwa na "Mashada People" huyu bwana kila mahali anongelea ukabila tuuuuuuuuuu.
 
Nope.Don't think so.Tanzania is just as tribal.What u got is the CCM that has u all wrapped up on it's finger.Just like Kenya had KANU.Once that finger snaps,then the tribal face will boldly arise.Do not flatter urselves people.

Sadly, I have to agree with you at leat on this one. KANU and CCM are identical twins but having lost their parents early in their lives they were adopted by different parents and raised in different contexts. However, despite being raised in different environmental conditions, they have remained the same in several accounts.
 
Sisi wa TZ kama tuna akili timamu na zinafanya kazi kisawa^2 hatuna nafasi ya kuwacheka Kenya hata kidogo.

Kwetu hakuna Kabila la kufunga safari kwenda ua kabila jingine Tumeoleana kila Kona.

Zamani ilisemekana ni shida Mchagga kumwoa Mhaya aah wapi bwana seti za wapendanao kutoka Kule kwa akina iwe na kwa akina Yesuu! ziko kwa maelfu.

Boundry za Tanzania ni za matabaka ya Haves and Nonhaves kitu ambacho ni cha kawaida kabisa hapa Duniani.

Hakuna chama cha kabila fulani katika maana ya wanachama wa kabila moja kujaa kwenye chama kimoja kama kipo niambie ni chama gani.

Hatuna kabila liwezalo kutamba kwamba lina uwezo wa kuiendesha siasa Tanzania pekee yake kwa sababu zozote zile.

Ni kweli kuna makabila yaliyo soma kuliko mengine lakini gap hiyo inameanza kuzibwa taratibu.

Sisi wa TZ Vita yetu itakuwa tofauti kabisa na ile ya Kenya, itakuwa katika namna ambayo sisi tunadhani haiwezekani.

SISIEMU wanajivunia Umoja na Amani.
Chini ya mwavuli huo wa Umoja na Amani wanadhani "They cana get away with it" wanajidanganya mchana kweupe.

Wakumbuke yaliyotokea Somalia.
Kabila moja.
Lugha moja.
Dini moja
Lakini wamesambaratika kwisha.
Dini ilishindwa kuwasaidia.
Ukweli kwamba hawana Ukabila nayo haikuwa sababu ya kuzuia kujisambaratisha.
Lugha moja nayo ilishindwa kuwasaidia.

Ni kitu gani kiliwasambaratisha Wasomali kiasi kwamba kwa zaidi ya karibu miaka 20 sasa wanashindwa kujenga serikali yenye umoja , hata chini ya imani yao tu?

Kama yuko Mtanzania awezae leta majibu ya kilicho tokea Somalia, iliyo onekana haina ukabila udini wala utofauti wa lugha, basi mtanzania huyo anaweza kenua meno kama mbwa anaye tabasamu na kuwacheka Kenya na kujigamba kwamba sisi Tanzania tuna umoja wa kitaifa kamwe hatuwezi pigana mapanga.

Hivi watu wasemao eti sisi vijana wetu watakwenda Monduli, PCC au Kule Scotland Yard wakajifunze MM kisha waje wawalinde wao mafisadi wapende wasipende, wanajua ndani ya mawazo ya wanajeshi,polisi na Usalama wa taifa kunapikwa nini?
Wanjua makundi haya ya kuwalinda washika mpini yanawaza nini?

Samwel Doe alikuwa Sajenti mgawa Kahawa mwaminifu kwenye vikao vya majenerali walio panga kumpindua Torbet.
Saa iliposika aliwafyeka wote na yeye kukalia kiti, lakini kwa kushindwa kufuata Kanuni za utawala na yeye alifyekwa na kutoweka.

Ni mabwege tu walionona mashavu kwa kuchuma bila kufanya kazi ndiyo wenye mwasho wa kucheka kizazi cha wenye mawazo mapya.

Mawazo yatolewayo hapa ni sehemu ndogo sana ya Self Brain Storming inayoendelea kwenye vichwa vya watu kadhaa wanaoiona Tanzania ya mwaka 2030 katika Taswira kamili iliyo angavu nayenye kujipambanua kwa Kina.

Wale wainayo Tanzania kuishia mwaka 2015 wanashangaa kwa nini tunaongea mambo mengi namna hii katika namna ya kujisumbua, hali wao na baba zao wataendelea kutawala milele?

Wakati ni ukuta.
Tuone miaka 15 kuanzia sasa nani atakuwa wa mwisho kucheka.
 
check this out.It took a Kikuyu 5 yrs to reverse 24 yrs of mismanagement by Kalenjins.Luos claim to be smart but one has to wonder that in 40 yrs of throwing stones why can't they use their
self-imposed genius to design some space age stone thrower??

Wewe ni mshamba na mkabila namba moja.Nd'o maana mnapata adhabu na makabila mengine.Staarabika mwenzangu na waambie wenzio pia wastaarabike nd'o tuweze kusogea mbele zaidi.
 
Matatizo ,

To claim that Kikuyu's are the one who turn the economy around is below the belt. That statement exposed your myopia!

Asante mkuu Rufiji.

Nadhani jamaa kaleta kasumba za ukabila kwa kutaka kusema kwamba ni wakikuyu walioimarisha uchumi.Nadhani sikosei nikisema makabila mengine pia yalikuwemo.Lakini nd'o hivyo tena, jamaa kaamua kama Kibaki wao...ishu ni wao wakikuyu tu, iwe uchumi au siasa...at the expense of the rest of the country.Kenya tunawaombea salama ndugu zetu maana nira mlioekewa na hawa mabwana ni nzito mno.
 
How else could u explain Kenyas prosperous economy under the Kikuyu founding father Kenyatta.Then we get a Kaleo that is Moi an Kenya lives thro 2 decades of complete hopelessness.So we get a Kikuyu back in charge.But when things are starting to get organised,in come the spoilers as they have always done since forever.The Odingas an the Luo herd mentality.U Tanzanians have no idea.The Luo is one stubborn people.They don't believe in an honest day of work.They live for welfare.They exist next to the second biggest freshwater lake in the world but the significance of it is negligible to the economy.Coz all they do is sit by it,whine howl an cry of hunger while the fish swim by.Their neigbors,the Kisiis are famous with the bananas an all kinds of fresh produce.The Luhyas to their north are great sugarcane growers an maize farmers.The current crisis in Kenya is not based on hate,but on a people thinking that somebody owes them something.

Aloo Bwana Matatizo,

Kwanza kabisa hebu shika adabu na adabu ikushike.Ni wazi kua unawachukia wajaluo na hizo ni sera zenu nyie wakikuyu.Hapa Bongo tunakuomba uende mwendo wa aste aste nasi.

Pili nataka nikufahimishe pia hapa Bongo kuna wajaluo na hatuwaangalii na huo mtazamo wako/wenu nyie wakikuyu.Kwa hivyo usijaribu kutubadili mawazo kwa kuleta mawazo yako tasa.

Tatu ni kwamba hio seketa ya Kenya tunaifuatilia na tushajua kulikoni.All we are wondering as Tz's ni kama suluhisho la kudumu litapatikana ili muishi salama na msiwe wakimbizi huku kwetu.Hilo zegere lililopo Kenya sio kwa sababu ya hio kitu usemayo eti "somebody owes them something" bali ni kwa sababu they believe "somebody has been treating them unfairly and distributing the national cake selectively".This can be evidenced in the distribution ya ile kitu mnaita CDF.

Jambo la nne ni kuhusu huyo Kenyatta wenu aliyekua mwizi nambari moja lakini mnataka kumsifu kwa wale wasiojua.Kwa wale wabongo msomao hii nakala ,huyu bwana aliiba mashamba baada ya masettler kuhama kenya.Baadhi ya mashamba aliwagawia vigogo f'lani waliokuwa wandani wake.Kuna watu kama Mbiyu Koinange,Njenga Karume na huyu Kibaki.Yaani watu watatu wanamiliki ardhi iliokaribu nusu mkoa kwa ukubwa. Ishhhhhhhhhhhh!!!

A'fu kwa ubavu wa pili kuna maskwata kibao wako nje wakiangalia ndani kwa tamaa.Hao wakikuyu wanaotimuliwa mitaa ya Bonde la Ufa wengi wao ukweli wa mambo ni kwamba walitakiwa warudishwe mitaa ya kati ya kenya pindi tu uhuru ulipopatikana.Lakini Kenyatta aliwahadaa na kuwaambia waunde vyama vya ushirika na akawapa mikopo wakanunue mashambe huko Rift Valley.Kinachoniskitisha na kunifanya niemkwe na maneno ni mbona hawakumwambia Kenyatta wanataka kurudi Central Kenya ambako ni their original homeland?Obviously hawangeweza maana Kenyatta na mabepari wake walikua washayamiliki.Hapa ndipo walipoanza ile story mnayoskia eti 'mkenya ana haki ya kuishi kokote kule'.Leo hii story imebadilika maana sehemu walizomiliki kwa ulaghai sasa wenyewe wamehamasika na wanataka vyao.Je sasa?
Poleni kwa aya ndefu lakini naomba mvumilie na msome yaliomo ndo mjue hawa ni watu wa aina gani.Sasa pia mnaelewa kwa nini wanakimbilia kutaka kuset-up EAF.Wabongo naomba tuwe waangalifu dhidi ya watu kama hawa both from within and without.
 
Mashada ilifungwa wakati serikali ilipogundua kenya nzima hata wale wako kwenye diaspora wanapinga kitendo cha uhalifu kilichotekelezwa na mwai kibaki-mashada ilionekana kuwa inaegemea sana upande wa ODM. Jambo la pili lililopelekea forum hiyo kufungwa ni matusi ambayo yalionekana kuendeleza chuki baina ya wakenya hasa wa pnu na odm yalikuwa yamezidi sana si uwongo.

AB-Titchaz umesema ukweli tena ukweli mtupu!! Mi ni mkenya na ninajua ukweli wa mambo sijakubali ukabila unipumbaze. Pongezi kwako.

Pili, nashangaa hata hapa wakikuyu waja kueneza chuki zao wamebebana na chuki toka ukikuyuni waja kueneza uvumi hapa!! watashangaa tena watashangaa sana!! Hizo tabia wakome!!

Tatu, kusema eti Kibaki aliubadilisha uchumi wa kenya kwa miaka tano ni urongo mtupu kwa vile huo uchumi wa 6%, umekua tu kwa mifuko ya marafiki zake-wakenya wengine wamekuwa tu wakisikia 6% kwenye ma-tv na maredio wala hawakuiona hiyo 6%, maskini wamezidi kuathirika na matajiri 'wachache-wanaojuana' wameendelea kuwa matajiri-sasa kama hiyo ndio inasemekana ni kukuza uchumi wakenya wamekataa.

Nimesoma pia mtu akisema wakikuyu ndio 'wanacontribute kwa growth of the economy' kama hivi ndivyo mambo yalivyo basi wakikuyu pekee yao wawe wakitozwa kodi(tax)kwa vile yaonekana sisi wengine hatuleti manufaa yoyote katika uchumi wa kenya-(wajaluo wamesemwa hapo awali kuwa wao hukaa tu ufuoni mwa ziwa ili waangalie samaki wakiogelea!!) hahaha!!! wakikuyu wana mambo jamani!!

Niweni radhi kama kiswahili changu ni kibovu-kiswahili ni kigumu kuandika lakini najaribu.
 
mh not to be disrespectful, but Wakenya wako rude in nature, sasa ukichanganya na hali ya ukabila, utakuta sio rahisi hiyo violence kuisha mapema, wataumizana sana kwa sababu kila mtu ni arrogant enough not to notice what's going on around them. Inasikitisha sana kwani wakimbizi wengi wanakimbilia Tz na ujue impact ya hao wakimbizi ni kubwa sana kwa Tz kwa kweli.
 
Mkenya1000,

heshima yako upewe na mawazo yako yanachanghia katika kuonesha vile huyu Mzee Kibaka ni mwizi wa kupindulia.Usiwe na wasiwasi kuhusu kiswahili chako maana kila mtu anaanzia mahali f'lani.Naamini its the chinese walosema a journey of 1000 miles begins with one step.Kwa hivyo 'sikate tamaa maana pia naswi kizungu wakati mwengine hutupiga chenga.

Tatizo la wakenya ni hilo kabila la wakikuyu ambalo linataka ku-potray themselves as Kenyans viz a viz the other tribes.Yaani kwa ufupi kenyans are seen through the eyes of the Kikuyu na hii ni mbaya sana.Wanamini hao tu nd'o wanahaki ya kutawala na pia kumiliki nyenzo za uchumi.Sisi hata tunashindwa kuelewa hakuna makabila mengine?Kiburi chao pia kinazidisha kuwepo kwa hali ya kutoelewana miongoni mwa jamii.Hebu fikiria vile huyo jamaa ajiitae matatizo alishatuambia ni miikuyu poia anawakasjhif wajaluo kana kwamba hapo Bongo hatuina wajaluo.Hio kujaribu kutuletea ukabila na mawazo tasa, sisi tumekataa kabisa.Arudishe huo upuazi kwao ASAP!!

Tuko pamoja nanyi na tunawatakieni kila la heri.Just keep the good fight maana hio kitu Raila ameanzisha ni mwenge wa demokrasia katika nchi za Afrika mashariki na hata bara zima.Kitu ni kwamba haki lazima idumishwe na sio tu kudumishwa bali ionekane inadumishwa.
Siku njema kaka!
 
mh not to be disrespectful, but Wakenya wako rude in nature, sasa ukichanganya na hali ya ukabila, utakuta sio rahisi hiyo violence kuisha mapema, wataumizana sana kwa sababu kila mtu ni arrogant enough not to notice what's going on around them. Inasikitisha sana kwani wakimbizi wengi wanakimbilia Tz na ujue impact ya hao wakimbizi ni kubwa sana kwa Tz kwa kweli.

Mwanamama heshima yako upewe,

hapa nadhani nitakukata kauli kidogo maana its not fair kusema hawa jamaa wako rude in nature.Kwanza kabisa najua washkaji f'lani poa Kenya ambao nilisoma nao hadi ukubwani.

Tatizo la Kenya lipo na hili kabila la wakikuyu ambao wako very arrogant na wanjitia kujua sanaaa!Naamini most of hao wakenya ulio-make contact nao ni wakikuyu na nd'o maana wamekupa that type of mwelekeo.Wamehodhi mashamba na nyenzo zote za uchumi na kufanya makabila mengine yawe answerable to them one way or another.Hii ni sababu mojapo kuu ya Kibaki kuiba kura na kukataa kuwasikiliza wakenya wengine.
 
Back
Top Bottom