Mashabiki walivyojitokeza kumpokea Zari Mlimani City

Mwanamke wa 40 hana tatizo lolote kwanza ni wazuri kimaongezi kwa kuwa wana uzoefu hata financially wanakuwa wako vizuri hivyo inategemea unataka nini kwa huyo Mwanamke na pia uwezo wako kiuchumi, kama ni ni sex hakuna substitute ya young chick, lkn kila mtu na test yake binafsi kwa umri kama wa Mondi 31 na mkwanja na fame yote nisingelala na Mwanamke 40‘s labda kama angekuwa na michongo, lkn 40‘s keshazaa watoto 5 au zaidi, WTF? Mimi zangu mademu 20‘s tu forever, ...
Barbarosa wewe upo Kama mimi
 
Hajielewi huyu mwanamke bora amkomeshe tu. Subiri akiondoka
Kipindi Wana ugomvi kila mmoja alikuwa anatoa yake ya moyoni lakini Zari alienda mbali mpaka akawa anatukana akamwita mondi mbwa ikiwemo kwenda Hadi BBC Swahili kufanya interview sasa unavyosema Diamond kamdhalilisha Zari wakati tuliona wanadhalilishana hapo sijakuelewa
 
Back
Top Bottom