mashabiki wa yanga kesho tujiteteeje vijiweni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashabiki wa yanga kesho tujiteteeje vijiweni?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dubu, May 6, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  wakuu mimi sina la kuongea, vipi tukizomewa na mashabiki wa simba tuwajibuje? naomba mnisaidie, naona aibu sana. lakini refa kawapendelea simba, yaani anawapa penalt nne!?. hii sio haki. kama vipi mchezo urudiwe.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  semeni mmefiwa.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwaka huu ni wa kuusahau yaani sisi ni kama vile arsenal .. tushafungwa kijinga sana bt ndio hivyo tugange yajayo..
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah. . .jana mjomba wangu karudi toka kwenye mechi akaenda straight kitandani. . .baadae ndo nakuja kujua kuwa YANGA walipigwa 5 -0. . aibu aisee!!
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Jitetee kwa ngumi!
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,681
  Likes Received: 870
  Trophy Points: 280

  Kongosho umejivua yeboyebo!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mimi jana hata kwenye lile banda la serengeti pale mnazini uwanja wa taifa sikuingia. nilikua naomba Mungu nifike getto mapema kuvua jezi. nilizomewajee?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  SALOK, Mie siwezi shabikia Yellow Five.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Pole.......siku nyingine kumbuka kuvaa t-shirt mbili kwenye mechi kama hiyo, ya home na ya timu yako!!
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kiswiti , namie naomba hako kapole unakokatoa kwa ubahili, nami nahusika miongoni mwa walioumia jana , sio siri !.
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  hahahah.......pole mr, goli 5 mweeh!!! Mi mwenyewe ni mwanaYanga ila kwa hayo magoli hata siumii zaidi ya kubaki nacheka tu!
   
 12. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waambie simba kuwa,yanga mwaka huu hawana kiwanga na kama vp watashuka daraja,utaonekana ni shabiki mzalendo unaeongea ukweeeee
   
Loading...