mashabiki wa liverpoolfc

Unaonyesha usivyoijua issue unayoiongelea! Sanasana utakuwa umekaririshwa tu... Na huyo mzungu wenu evra angeambiwa maneno hayohayo uliyowaita mashabiki wa Liver mngeanza makelele kuwa ametukanwa kwa sababu ni 'mzungu' maana akiitwa mwafrika hamtaki!!!

sawa bwana, naona wewe ulikuwepo kule Anfield ndio maana unaijua issue fresh sie tumeona tu kwenye vyombo vya habari ndio maana tumekaririshwa! Naona na unamjua zaidi Suarez hadi kuwazidi supersport, goal.com pamoja na bbc. Lakini dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!
 
unajua nini mkuu mashabiki wa manure from old trashford huwa wanautindio wa ubongo kama vipi lipotezee..

yaani kuongea ukweli unaitwa una utindio wa ubongo, lakini siwezi bishana na shabiki wa Man City kwasababu Man city haijafikia hata nusu ya mafanikio ya Man united, sasa kwa mtindo huo tutaongea nini!? Ni sawa sawa na kubishana eti kiungo Boban na Silva nani mkali!? Hapo nitaonekana mwehu kama wewe!
 
sawa bwana, naona wewe ulikuwepo kule Anfield ndio maana unaijua issue fresh sie tumeona tu kwenye vyombo vya habari ndio maana tumekaririshwa! Naona na unamjua zaidi Suarez hadi kuwazidi supersport, goal.com pamoja na bbc. Lakini dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana!
Unazidi kujionyesha ulivyo hodari wa kukariri na usivyoweza kutumia utashi wako kupambanua mambo!!! Hebu tuchukue mfano wa hao bbc uliowataja hapo; Umewahi kuona statement ya mzungu evra ambayo pia bbc haohao unaowaamini waliiweka hadharani?! Unaweza kutuwekea hapa maneno ambayo evra alimtamkia Suarez kabla ya kuambiwa 'siongei na negrito?' Kwako wewe kile tu wanachokutangazia FA ndicho sahihi?! Endelea kukariri....
 
Hao BBC n Goal.com ni wanafiki kinoma issue ya Suarez ungejaribu kufatilia Media nying zilizo nje ya England ndo ungeilewa vizuri
 
Unazidi kujionyesha ulivyo hodari wa kukariri na usivyoweza kutumia utashi wako kupambanua mambo!!! Hebu tuchukue mfano wa hao bbc uliowataja hapo; Umewahi kuona statement ya mzungu evra ambayo pia bbc haohao unaowaamini waliiweka hadharani?! Unaweza kutuwekea hapa maneno ambayo evra alimtamkia Suarez kabla ya kuambiwa 'siongei na negrito?' Kwako wewe kile tu wanachokutangazia FA ndicho sahihi?! Endelea kukariri....

hebu tupe hiyo statement, kwani ni lini evra amegeuka kuwa mzungu! Mkifungwa leo nafikiri itakuwa safi sana.
 
yaani kuongea ukweli unaitwa una utindio wa ubongo, lakini siwezi bishana na shabiki wa Man City kwasababu Man city haijafikia hata nusu ya mafanikio ya Man united, sasa kwa mtindo huo tutaongea nini!? Ni sawa sawa na kubishana eti kiungo Boban na Silva nani mkali!? Hapo nitaonekana mwehu kama wewe!

vipi ushamaliza dozi yako au bado..
 
Kumbe hujui lolote?! evra akiitwa mwafrika analalamika kubaguliwa na nyie mnamuunga mkono! Sasa anataka aitweje???

tunataka aitwe evra, kwanini ni Suarez!? Asiwe ni mwingine au Suarez anapenda kuwaita watu kwa asili zao, acha hoja dhaifu!
 
Acha kujidhalilisha hapa! Kama hujui tafuta ujue mzungu evra alimuitaje Suarez kabla ya kuitwa negrito, ikiwa huwezi kupata na kulielewa jambo rahisi hivyo hatuna namna ya kukusaidia hapa... Na hata tungechukua hiyo unayoita hoja, nashindwa kukuelewa asili yako ina ugonjwa gani wa aibu hadi uone kero kuitwa kwa asili yako!!!
 
siwezi kubishana na mtu anaefurahia ubaguzi, kaa ukiona kwamba Suarez hana hatia na mimi wacha nikae nikiamini mawazo yangu, we amini hivi na mimi acha niamini vile, jitu linaonekana baguzi hata lilipofunga goli lilifanyaje siku ya Man u na liver!? Lakini bado kuna mamtu yanalitetea! Jitu alijafikia hata robo ya mafanikio ya pele lakini lipo hivyo, halijafikia hata mafanikio ya baadhi ya wachezaji wa africa lakini liko hivyo nakwambia hivi suarez ni mpuuzi anaefaa kupuuzwa, yaani nakwambia hata ulie, hata ukimuita evra mzungu huwezi nibadilisha mawazo yangu! Na timu lako la kibaguzi!
 
Dah!! Sasaa mapovu ya nini wakati mzungu evra hataki kuitwa mwafrika?! Hakuna mtu anayekulazimisha ubadilishe mtazamo wako, kwani ulipoleta shutuma zako za kinafiki ulitarajia kila mtu hapa akuunge mkono???! Wewe sasa hivi ndo unaelewa kuwa kila mtu ana haki ya kubaki na mtazamo wake?! Halafu unaonyesha ulivyoachwa na ustaarabu...! Mara 'milevi/mlevi', 'jitu' 'mamtu'... Pole sana... Wenzako tulishaamka zamani toka enzi za kudanganyika kwa propaganda za kishetanishetani. Kama nilivyokwambia mwanzo una haki ya kuendelea kukaririshwa mambo... Endelea kukariri!!!
 
Back
Top Bottom