mashabiki wa liverpoolfc

Kombe la mbuzi lakini poa tu. Wanaojua mpira watakiri uingereza Man U ni next to Liverpool. We never walk alone. Ukiondoa liverpol na Man U england hakuna timu nyingine.... Ipo?
 
poa mkuu nitaitafuta ila vp umeuchukuliaje ubingwa 2liochukua jana
Mkuu, umen-let down kama bado hujaiona! Mbona ukiingia jukwaa la 'Sports' uzi wa Liverpool upo wazi kama nyuzi za timu nyingine?!
Ubingwa wa Carling ni hatua nzuri sana, itakuwa kama springboard kwa timu, kwa sababu vijana wengi pale ni mara yao ya kwanza kushinda kombe, so naamini watakuwa na njaa ya kushinda zaidi baada ya kuonja...
 
Back
Top Bottom