Mashabiki wa huyu jamaa hebu tukumbushane!

Mashabiki wa huyu jamaa hebu tukumbushane!

Kama nakuona ulivyokuwa unawahi ticket kwa picha mpya!

Nilikuwa napelekwa Metropole au Elite......nikitoka napitishwa ice cream parlor....nanunuliwa candy floss na popcorn napita hivi......
 
Movie zilizotikisa enzi hizo; andhaar kanoon,
hatya (maarufu kama yaya),
Disco dancer,
taazan,
commando (mithun chakrabotha ndiyo sitelingi),
Dokyaidi,
Nagna (Maarufu kama demu nyoka),
Tridev (maarufu kama oye oyee)

Ongezea nyingine
 
Mard, vishwatma(imechezwa hadi Kenya), mohra, shahenshaa(mkono wa chuma), rakshak(sunil ya taniyaa), Teri meri bahaniyaan(jackshrof ya mbwa)!
 
Mard, vishwatma(imechezwa hadi Kenya), mohra, shahenshaa(mkono wa chuma), rakshak(sunil ya taniyaa), Teri meri bahaniyaan(jackshrof ya mbwa)!

Dah! Mkuu hii Teri meri bhaniyaan umenikumbusha mbali aisee, ilikuwa movie hii ikichezwa lazima ulie kwa jinsi inavyosikitisha.
 
Dah! Mkuu hii Teri meri bhaniyaan umenikumbusha mbali aisee, ilikuwa movie hii ikichezwa lazima ulie kwa jinsi inavyosikitisha.
Sana, nakumbuka jinsi yule mbwa alivyocheza role yake vizuri, ila ndo hivyo hatunae tena yule mbwa!
 
Watoto bana...yaani hivi vipicha vya tisini ndio vinawakimbusha mbali....
 
Movie zilizotikisa enzi hizo; andhaar kanoon,
hatya (maarufu kama yaya),
Disco dancer,
taazan,
commando (mithun chakrabotha ndiyo sitelingi),
Dokyaidi,
Nagna (Maarufu kama demu nyoka),
Tridev (maarufu kama oye oyee)

Ongezea nyingine
Umesahau disco dancer (mithun chakraboth
 
Yule mbwa kumbe ameshakuwa marehemu sasa?
Yap! Alikuwa anaitwa brownie moti, ni mbwa jike alikuwa ni rafiki sana jackshrof ndani na nje ya filamu!
Unaweza ukaamini uwezo wa huyo mbwa kwa filamu zifuatazo! Mard(Amitha Batchan), Kundan(dharmendrah), Teri meri baniyaan( jackshrof) na Dost(mithun chakraboty)!
 
Watoto bana...yaani hivi vipicha vya tisini ndio vinawakimbusha mbali....

Acha mbwembwe mkuu! Teri meherbaniyaan imetoka mwaka 1985. Kabla ya hapo tuambie mwenzetu kwenye utawala wa Mwalimu Julius hivyo vibanda umiza na Cinema halls ulizionea wapi? Labda kama ulikuwa ni mjukuu wa mwalimu pale magogoni

upload_2016-1-13_8-52-52.png
 
Nadhani movie yenyewe hata huijui ndiyo maana umetuita sisis watoto wa juzi juzi. Hebu kwa faida yako itizame movie yenyewe hiyo. KikulachoChako

Yap! Alikuwa anaitwa brownie moti, ni mbwa jike alikuwa ni rafiki sana jackshrof ndani na nje ya filamu!
Unaweza ukaamini uwezo wa huyo mbwa kwa filamu zifuatazo! Mard(Amitha Batchan), Kundan(dharmendrah), Teri meri baniyaan( jackshrof) na Dost(mithun chakraboty)!

Kweli mkuu nimekukubali, Kundan si ndiyo huyo mbwa alikuwa na ngedere eenh?
 
Back
Top Bottom