Masha msikurupuke.chunguzeni chanzo badala ya kulea tatizo!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masha msikurupuke.chunguzeni chanzo badala ya kulea tatizo!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  HAKIKA KILA MTANZANIA ALIKUWA NA SIMANZI ALIPOONA KITU KAMA KITUO CHA POLISI CHENYE KUWALINDA WANANCHI KIKICHOMWA SASA WANANCHI WANAAMUA KUJILINDA WENEYEWE....NI KWELI TUKIO LIMETOKEA LAKINI MH MASHA JAANA NIMEKUONA UKIWA NA HASIRA NA JAZBA AMBAZO KAMA MSTARABU UTAKIWI KUWA NALO BADALA YA KUWAFIKIRIA MTAWALIPAJE WALE WALIOCHOMWA MAGARI YAO PALE KITUONI YAKIWA MAZIMA

  Ndugu watanzania,KUNA SIKU NILIANDIKA MADA IPO SIKU WATANZANIA WATASEMA TUMECHOKA SASA BASI NAHAYA NI MWANZO TU...HAKUNA ASIEJUA UCHAFU UNAOTOKEA KWENYE HIVI VITUO VYA POLISI VIDOGODGO..NI AIBU UNAKUTA MTU ANAKWENDA ANA SHIDA WANAMWAMBIA AJE NA GARI ANACHUKUA TAX WANAENDA KUMKAM,ATA MTU GAFLA ANAFIKA ....NDUGU WA MSHTAKIWA ANAONGEA NA MKUU WA KITUO ASBH UNAENDA UNAAMBIWA ALIACHIWA KWA DHAMANA..HUKU ALIEMCHOMA KISU YUKO MUHIMBILI HUU NI UHUNI NASMEA HII BADO AFANDE MWEMA NAWAASA MSIKURUPUKE..JIHADHARANI MTAUNDA TUME NYINGI SANA WATANZANIA WAMECHOKA..LABDA KWA UFUPI NIKIWA NA MDOGO WANGU ALIETOKEA HUKO ANASEMA UNAJUA KUNA MTOTO WALIMTEKA BAADA YA HAPO NDUGU ZAKE WAKAENDA POLISI W AKAMWAGA FEDHA BILA KUJUA ALIEFANYA HIVYO WAKAANZA KUFWATA NYUMBA OVYO NA KUWACHUKUA VIJANA WALIOMO...WANA SAME WAKASEMA HILI ALIWEZAKNI WAKASUBIRI WAMALIZE TATIZO LAO WAKAKAMATA WATU KUMI WAKAPELEKA NDANI

  BAADA YA HAPO IKAJA HABARI MTOTO WAMEMUUA WALE POLISI WAKAWAFANYA VIBAYA SANA WALE WATU IKIWEMO KUWACHOMA SEHEMU ZA SIRI NA KUWAFINYA VIDOLE VYAO WASIWEZECHEZEA NENA ZA WAKE ZAO TENA,...BAADA YA WANANDUGU KUFIKISHA UJUMBE HUO..KWELI AIKUWA HAKI NDIPO KUNDI LA WAUNGWANA WAPATAO 50 KAMA SI 80 WALA AWAKUFIKA MIA WAKAFIKA KITUNONI NA MAPANGA NA MASIME WAACHILIWE WALE JAMAA..KWA KWELI ILIKUWA KAMA SI NEMA LAKINI NI KWELI KAMA WATU 50 WANACHUKUA KITUO 800 TUKLIAMUA SI TUNACHUKUA JESHI JAMANI

  SO MSIKURUPUKE NENDENI TAFUTEN TATIZO BADALA YA KUSIKILIZA POROJO NA JIULIZENI KWA NINI HIVI....WAPO WALIOULIWA NA MAPOLISI MPAKA LEO HII NAWAAMBIA MAP[OLISI WENGINE WANAKULA KUKU WENGINE WAMEHAMISHIWA NJE YA MKOA KWA USALAMA WAO NA AKUNA KINACGHOENDELEA SASA KWA NINI TUSIJILINDE WENYEWE
   
Loading...