Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

Status
Not open for further replies.
Mzee Gembe nimefurahi sana umerudi siku hii muhimu. Nilikumiss mshikaji.. harufu ya mabadiliko inanukia?
 
Me naanza suti yangu ya kuendea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kumuapisha Dr Slaa...
 
Ka inzi kamenitumia matokeo haya

Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30

Nyegezi huko Nasikia Lau kakosa kura kabisa..matokeo zaidi yanazidi kuingia ila tutajua baadaye..Arusha huko kuna balaa zaidi...

Mambo juu ya mambo ila matokeo rasmi baadaye..ila kwenye ubunge kuna upinzani mkali zaidi..

Tarime huko ni noma zaidi
Asante sana kwa matokeo ya kutia moyo.
 
Mzee Gembe nimefurahi sana umerudi siku hii muhimu. Nilikumiss mshikaji.. harufu ya mabadiliko inanukia?

Mkuu Mwanakijiji huu ndiyo wakati muafaka wa kuwaeleza wanachi matokeo sahihi..Ni kumkoma nyani giladi Mchana Kweupe..tupo pamoja..

Hata kikwete akishinda ila kuna ujumbe mzito umetumwa!
 
Nina mabegi siyatumii hapa, vipi nimpelekee JK??????
we ache tu kuna wasaidizi wake wanasema mzee kaanza kupaki mabegi yake, na ile ruzuku ya outfit allowance anayo mengi tu, ila kawaeleza familia mengine atakuja nayo riz, mirojo, hulfani, mama ataondoka nae yeye mwenyewe
 
kwa taarifa nyepesi toka mwanza nyamagana- masha wa ccm yuko hoi bin taabani mbele ya mgombea wa chadema kwa mbali sana. Karibu sehemu zote za udiwani chadema washachukuwa ushindi tayari. Pia ilemela dialo yuko kwenye intesive care unit, chadema inaongoza kwa juu sana. Hivyo mwanza wamempeleka slaa ikulu.

chadema kwigolyaaaaa
 
Ngoja kwanza, mi nadhani naota. Naomba kuuliza hivi aliyeulizwa swali la vitambulisho vya uraia akiwa ndiye waziri mwenye dhamana halafu akajibu kuwa swala hili lilianza kabla hajazaliwa tena kwa jeuri si ndio huyo au mwingine?

Yes he is the same same devil !
 
Yah, matokeo kwa idadi ya kura ndio muhimu, japo hatupingi matokeo aliyowasilisha huyu mdau wetu.
Mimi ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF, hivyo naomba nikusalimieni members nyote wa JF, "mu wazima nyote ndugu zanguni"?. mimi ni mzima sana.
 
Yah, matokeo kwa idadi ya kura ndio muhimu, japo hatupingi matokeo aliyowasilisha huyu mdau wetu.
Mimi ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF, hivyo naomba nikusalimieni members nyote wa JF, "mu wazima nyote ndugu zanguni"?. mimi ni mzima sana.

karibu sana,na asante kwa kujitambulisha.lete matokeo huko uliko.
 
Jamani, nchi tumeshaichukua jamani
ukombozi huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuoooooooooooooooooooooooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom