Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,051
- 747
Kwanza hawa sio watanzania ni wa mchumbiji hawa tuwafukuzeKwa vyovyote vile yawezekana wako mafichoni, wanasubiri watu wa masasi walale usiku ili wawakamate moja baada ya mwingine. Ila nadhani karibu 90% ya vijana wa Masasi leo watalala uhamishoni Msumbiji.