Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Kuna siku nilienda kwa hawa ndugu zetu wachungaji feki enhee...we acha tuu aliimba nikaona watu wanaanguka sasa jamaa akanijia mm kila akiomba mh patupu akanitia ngumi ya chembe,nikawa nawaambia sina pepo akazidi kunitia mikofi nikaona ohooo nitulie nisije umia kwa maana walikuwa wanasemezana kuwa ninapepo mkolofi
Ngumi ya chembe ya moyo
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww
MJINGA.
Utakuta ww ni baba wa familia hafu unawafokea watoto zako kua hawana akili.. :D:D:D
 
Wewe ulishawahi kutafutwa ukajiangusha? Walikupa sh ngapi?/vinginevyo acha uzushi wa mambo usiyoyajua

Mimi ni Muslim.. Kuna siku Yule sheikh sharifu majini. Alikuwa na mkutano pale diamond Jubilee. Nikaenda.

Mambo yakaanza. Akaanza kuita majiniiiii majiniiiii. Mara wamama wakaanza kuanguka ovyo ovyo. Hakuna mwanaume hata mmoja aliyeanguka. Akajipaka mafuta mkononi akawa anawasukumiza kwa kiganja cha mkono usoni.
Mimi nikashtuka.

Wale wanaoanguka hawaanguki kwa nguvu ya mafuta. Kuna mawili. Moja wameandaliwa au wanasukumizwa.

Sasa wengine wanakuwa wagonjwa kweli. Ukimsukumiza tu chali.
Wengine sio wagonjwa. Unamsukumiza MTU kasimama tu.
Kwa nini usipigwe mtama?
 
Kwani kuanguka ni ishara ya nini? Nguvu ya maombi ya muombaji au pepo wa anaeombewa?
 
110b2f4e5c15cd51a45ee9df93c70663.jpg
5b3418b33c2d5f1255b85c9e85b9c575.jpg
 
Police hawana muda wa kupoteza kwa hao wajinga wanaojipeleka wenyewe kupigwa na pili Masanja kaunga juhudi za serikali kufungua kiwanda kwahyo hakuna shida hicho ni kiwanda chake cha kupatia grisi za kulainishia vyumba vilivyokaza
wakuu.
ile picha inayosambaa kuna watu wameanguka mbele ya masanja inaonekana jamaa aliwapiga wakaanguka au ni maombi ya kawaida?
vyombo vya dola vifanye uchunguzi maana hachelewi kuwasukuma watanzania wenzetu kwa mikono yake wakianguka chini anasingizia maombi.
 
Back
Top Bottom