Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?
Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa
View attachment 1039222
Umeona ehhhh... Mazuzu hao wanadhani inchi watajengewa na wageniKuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
Huyo kawahi kuingia tu akajiselfisha
Utairusha hiyo ndege tupu namna hiyo? Muwe mnatumia hata theluthi moja ya ubongo wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
NI KWELI SO FAR ATCL ISHAINGIZA FAIDA YA BILIONI 14,SERIKALI HAIWEZI KUPATA HASARA HATA KWENYE KOROSHO SERIKALI IMEPIGA FAIDA YA FEDHA ZA KIGENI NYIIINGI MNOOOOO
ATESWE HADI ATAJE MABEBERU YA KANISA YALIYOMTUMA KUITUKANA NCHI,INATIA HASIRA SANA JINSI ANAVYOKOSA UZALENDOAtakamatwa huyu au tayari washamnasa, mateso yake sasa! 🙉🙉🙉
NASHANGAA KAKA,SERIKALI YETU CHINI YA JPM INAJITAHIDI SANA KUJENGA UMOJA WA KITAIFA ,JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYA USALAMA VINATENDA HAKI MNOO,DEMOKRASIA IPO KABISA HATA PROFESA KABUDI KASEMA HILO JAMANI,UHURU WA KUJIELEZA UPO KILA RAIA ANAJISIKIA NI RAIA WA NCHI HII HAKUNA CHAMA KINACHOPENDELEWA ILA KUNA WATU HAWAITAKII MEMA NCHII HII KAMA KINA MBOWE WALIOTOA BASTOLA HADHARANI NA KUMUUA AKWELINA(RIP)NCHI INAENDESHWA KWA HAKI SANA BASI TU KUNA MAJITU HAYAONI JUHUDI ZOTE HIZI ZA AWAMU YA TANOKuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
Sawa janjaroAcha ujinga weye!!!! Mbona pilot aliruka na Dreamliner toka Kilimanjaro hadi Kampala ikiwa na abiria sita? Na mmoja wa abiria hao sita akapiga picha na kuiweka mtandaoni?
Hakuna wasafiri wa kujaza hizo ndege kwenye kila route ni KUKURUPUKA TU na kutaka sifa matokeo yake ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Kanunua kwa hela yake mfukoni ?Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
Alokwambia kanunua na hela yake kutoka mfukoni nani?
Alafu kurudi kutoka huko wangapi? mana inaonyesha ulikuwepo
Ukiwa angani huwezi piga pic umesimama sio basi hiloTupe evidence kwamba iko ground.ikiwa angani hawezi kufanya hlo tukio?
Kenya Airways nayo imefirisika wanataka kuifufua kwa kuiunga na mashrika mengine ya ummaAir tanzania kuna wizi sana wa kuuza tiketi na haitapita mda kampuni itafirisika wawekeni mameneja wazungu kama kenya air emirate qatarair
UPO SAHIHI, UKIWA ANGANI INATAKIWA KUKAA TU HATA UKIENDA CHOONI KUKATA GOGO UNAPEWA WHEELCHAIR HAMNA KUSIMAMA WALA KUTEMBEAUkiwa angani huwezi piga pic umesimama sio basi hilo
Kwahiyo hapo yuko chooni??? Sio kwamba huwezi kusimama ni kwamba huruhusiwi kufanya hivo na hata ukifanya ivo utaonekana mshamba kutoka hukooo ndani ndani sijui chato..... au geita... sijui nyamuswa...... au kyabakari.....UPO SAHIHI, UKIWA ANGANI INATAKIWA KUKAA TU HATA UKIENDA CHOONI KUKATA GOGO UNAPEWA WHEELCHAIR HAMNA KUSIMAMA WALA KUTEMBEA
KWELI ,WEWE UTAKUWA GENIUS,ILA NIMEPATA UPDATE HAPA.NDEGE ILIJAA SIKU HIYO KUMBE ILIKUWA HAIJAPAA,FULL SEAT BWANA,SERIKALI HAIPATAGI HASARAKwahiyo hapo yuko chooni??? Sio kwamba huwezi kusimama ni kwamba huruhusiwi kufanya hivo na hata ukifanya ivo utaonekana mshamba kutoka hukooo ndani ndani sijui chato..... au geita... sijui nyamuswa...... au kyabakari.....
KWELI ,WEWE UTAKUWA GENIUS,ILA NIMEPATA UPDATE HAPA.NDEGE ILIJAA SIKU HIYO KUMBE ILIKUWA HAIJAPAA,FULL SEAT BWANA,SERIKALI HAIPATAGI HASARAKwahiyo hapo yuko chooni??? Sio kwamba huwezi kusimama ni kwamba huruhusiwi kufanya hivo na hata ukifanya ivo utaonekana mshamba kutoka hukooo ndani ndani sijui chato..... au geita... sijui nyamuswa...... au kyabakari.....