Masanduku ya kura yadaiwa kukamatwa jimboni Hanang...

Status
Not open for further replies.
Halafu kuna wana ccm wanatuma ujumbe kwamba wana ukawa wasifanye fujo waende nyumbani. Hii ni sehemu ya kuhadaa watu ili waibe vizuri kabisa:wink:
 
Habari za uhakika yuko Polisi, Hanang... na masanduku yake.. ana yashapigiwa kura...!!!!

Eeeeehh... Mungu, weka mkono wako...!!!

😨😨😨 Hizi ni habari toka kwa wananchi walio hapo Polisi Hanang...!!
 
hayo maboksi mkiyakamata chomeni moto

Mkuu maboksi siyo ya kuchoma moto, anayekamatwa nayo ndo wa kuchma moto. Nawashangaa hata watu wa Hanang sijui kwa nini wamemwacha huyu mala.ya mpaka sasa hivi ananyang'anyana hewa na sisi!!
 
Mama nilikuona wa maana jinsi ulivyokuwa unaongea kwa hisia kwenye mazishi ya Prof Kirway.kumbe wa hovyoo kabisa! Ni ni mungu yupi uliekuwa unamtaja siku ya msiba? Nimekudharau wewe na familia yako.

Hawamjui MUNGU hawa. Sidhani kama kuna mtu ndani ya hicho chama aneyeamini MUNGU labda miungu ya baali.
 
Ninacho kiona humu kuna kikundi cha watu au mtu mmoja anatumia multiple alias names kujaribu kueneza uzushi wenye lengo la kuwafanya watu wahamaki na kuleta fujo,watu kama nyinyi mnapaswa kufatiliwa na kuwekwa kwenye slammer mpaka Rais atakapo hapishwa.

Acha ujinga wako.Tupe ukweli sasa.
 
Wameshaanza kutengeneza mazingira ya vijana kufanya vurugu baada ya mahakama kuondolea mbali kukaa mita 200 toka kwenye kituo cha kupigia kura. Hapa wanacheza na akili za vijana ili ionekane kuwa kuna wizi umepangwa. Nakumbuka issue ya Tunduma nilienda hadi kwenye tukio,vijana tujichunge tusiwe silaha za wanasiasa plz
 
Habari za uhakika yuko Polisi, Hanang... na masanduku yake.. ana yashapigiwa kura...!!!!

Eeeeehh... Mungu, weka mkono wako...!!!

😨😨😨 Hizi ni habari toka kwa wananchi walio hapo Polisi Hanang...!!

Hakuna hata mwenye picha ya ushahidi??
 
Wakuu kwa habari za hivi punde kutoka Hanang ni kuwa Dr Mary Nagu amekamatwa na maboksi kumi ya kura yakiwa yashapigiwa kura tayari huko Hanang. Sasa hivi amekamatwa yupo Polisi,taarifa zaidi zinakuja.

Hayo maccm ni majizi kabisa na mwaka huu lazima tuyakamue
 
Aibu sana wazazi wangu kuiba kura na je utakuwa na mapenzi ya dhati na wale utakaowabaka kuwaongoza?
 
Tunasema, kama hamkuchukua hapo hata sanduku moja likapigwa picha nyiye ni vichwa nazi tu. CCM haishikwi na poilisi wala mgambo. CCM hukamatwa na wapiga kura wenyewe. Mmwagieni mafuta ya taa, kibiriti baadaye
 
Ukiona mods wameiacha hivi ujue kuna chembe ye ukweli-kalaleni mkishapiga kura-hii ndio tafsiri yake kwenye site
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom