Masalia ya Kikwete kuendelea kupukutishwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247


Kama wewe ni mwanaccm na kama unajijua kwamba ulibebwa na Kikwete na Kinana au Makamba basi unapaswa kufahamu kwamba muda wako katika cheo ulichonacho unahesabika , na ni vema ukaanza kujiandaa mapema kabla ya panga kukufyekelea mbali .

Na kama ulitarajia kugombea chochote kwenye uchaguzi ujao kwa tiketi ya ccm ni vema ukaweka mpira kwapani , maana huna nafasi ya kupenya , tayari wakubwa wana majina mfukoni .
 
Hilo jamaa hapo pichani eti nalo linataka kujibebisha hapo kwa Mh. Kama vile Shonza alivyofanya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…