Masalia ya Kikwete kuendelea kupukutishwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,419
215,177
Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala wa wilaya ya Kisarawe ( 640 X 640 ).jpg


Kama wewe ni mwanaccm na kama unajijua kwamba ulibebwa na Kikwete na Kinana au Makamba basi unapaswa kufahamu kwamba muda wako katika cheo ulichonacho unahesabika , na ni vema ukaanza kujiandaa mapema kabla ya panga kukufyekelea mbali .

Na kama ulitarajia kugombea chochote kwenye uchaguzi ujao kwa tiketi ya ccm ni vema ukaweka mpira kwapani , maana huna nafasi ya kupenya , tayari wakubwa wana majina mfukoni .
 
Hilo jamaa hapo pichani eti nalo linataka kujibebisha hapo kwa Mh. Kama vile Shonza alivyofanya
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom