Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,343
- 217,373
Kama wewe ni mwanaccm na kama unajijua kwamba ulibebwa na Kikwete na Kinana au Makamba basi unapaswa kufahamu kwamba muda wako katika cheo ulichonacho unahesabika , na ni vema ukaanza kujiandaa mapema kabla ya panga kukufyekelea mbali .
Na kama ulitarajia kugombea chochote kwenye uchaguzi ujao kwa tiketi ya ccm ni vema ukaweka mpira kwapani , maana huna nafasi ya kupenya , tayari wakubwa wana majina mfukoni .