Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

mkiamua kufanya masihara pouwa lakini kimsingi Millya Bananga na hao wengine niliyo wataja ni wanachama wa Chadema na ni vijana kwa maana hiyo ni wanachama wa Bavicha
 
mimi siwezi kuweka ushaidi huku kuna masihara mengi huku nataka nifanye mambo kisomi
As long as tunatumia nick name hapa Jf,tafadhari kamauna hakika na ukisemacho weka hapa kwa uwazi sio kuleta blah blah nyingi,weka hapa hapa huo ushahidi vinginevyo wewe ni MKUDA
 
Toa ushahidi, isije na wewe ukawa ni sehemu ya watu wanataka kukuza migogoro ndani ya chama chetu. Weka ushahidi kama walivyofanya wengine hapa. Vinginevyo MODS tunaomba msaada wa kufuta thread hii.
 
Mi nadhani tungemshauri pa kupeleka huo ushahidi alio nao.
Kama hakutakuwa na hoja ktk huo ushahidi basi muutupilie mbali na onyo juu. Ila kama kuna substance basi muzifanyie kazi.
 
kama kawaida yangu naleta taarifa zenye uhakika, japo makamanda wa chadema huwa wanapenda kunibeza, japo sijali kwani nafanya hivi kwa mustakabali wa Taifa kwa ujumla.

Juzi na jana kumekuwepo na Taarifa ya BAVICHA kuwatimuwa wanachama wake kwa madai ya usaliti kwa kufanya kazi zao kwa maslahi yaccm ukweli ni kwamba kuna makamanda ambao bado hajajulikana ambao ndio chanzo cha tatizo mimi nitawaambia alafu nyinyi mtaona kama mtaendelea kunibeza au mtachunguza.

yafuatayo ni majina ya vijana walio ndani ya Bavicha ambao ndo wamekuwa wakiwaunganisha viongozi wa Bavicha na ccm.
1James Millya
2.Ally Bananga
3.Frank Oleleshwa
4.Gideon Sanago

hawa vijana ambao wamekuwa wakijipambanua kuwa wamejitoa kuhakikisha mwaka 2015 Chadema watachukua nchi ndo walikuwa wamewaunganisha viongozi wa bavicha na viongozi wa ccm. nina ushahidi wa kutosha atakaye uhitaji ushaidi wangu nitumie e mail kwenye olekishon@yahoo.com nitakueleza jinsi ya kuupata.

hivi Olesendeka anakulipa sh.ngapi kwa kila thread??
mpe taarifa boss wako Olesendeka kuwa 2015 ataambulia strock au pressure ya macho kama ya Lowassa.
 
Lete huo ushahidi wako,mbona unakuwa mwog wakati unatumia anonymous name!
 
hivi Olesendeka anakulipa sh.ngapi kwa kila thread??
mpe taarifa boss wako Olesendeka kuwa 2015 ataambulia strock au pressure ya macho kama ya Lowassa.

kwanini mkikosolewa mnakimbilia kusema mtu analipwa??? hii inaonyesha nyie ndo mnalipwa mnadhani kila mtu anashikiwa akili yake kama nyie
 
kama kawaida yangu naleta taarifa zenye uhakika, japo makamanda wa chadema huwa wanapenda kunibeza, japo sijali kwani nafanya hivi kwa mustakabali wa Taifa kwa ujumla.

Juzi na jana kumekuwepo na Taarifa ya BAVICHA kuwatimuwa wanachama wake kwa madai ya usaliti kwa kufanya kazi zao kwa maslahi yaccm ukweli ni kwamba kuna makamanda ambao bado hajajulikana ambao ndio chanzo cha tatizo mimi nitawaambia alafu nyinyi mtaona kama mtaendelea kunibeza au mtachunguza.

yafuatayo ni majina ya vijana walio ndani ya Bavicha ambao ndo wamekuwa wakiwaunganisha viongozi wa Bavicha na ccm.
1James Millya
2.Ally Bananga

3.Frank Oleleshwa
4.Gideon Sanago

hawa vijana ambao wamekuwa wakijipambanua kuwa wamejitoa kuhakikisha mwaka 2015 Chadema watachukua nchi ndo walikuwa wamewaunganisha viongozi wa bavicha na viongozi wa ccm. nina ushahidi wa kutosha atakaye uhitaji ushaidi wangu nitumie e mail kwenye olekishon@yahoo.com nitakueleza jinsi ya kuupata.

East west home is best
 
Mkuu wangu SEBM hili ni Salia linaweweseka tu.Chadema haichukui maamuzi kwa Porojo za vijiweni.

kwa nini asipatikane kiongozi wa cdm au bavicha akajitolea kufuatilia hapa atuaambie anamtumia hiyo e mail then atakachoambiwa au huo ushahidi akiupata aupeleke mbele ya vikao halali vya chama waucheki,but atuahidi kutuletea mrejesho.hilo haliwezekani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom