Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

Juliana shonza.

Amejulikana sana katika kusaliti chama,kuliko kwenye kukijenga.
 
Mbona Wanafukuzwa Dagaa Tu,, Mapapa Yanaachwa???

Demokrasia Ipo Wapi Ndani Ya Chadema??

wasiwasi wa nini kijana? Subiri usiwe na papara kwani lazima ushahidi uwepo ndio hatua zichukuliwe kama kwa hao masalia.
 
Mkuu TAYADI, yoyote anayehoji chochote Chadema ni lazima atakuwa gamba?!.
P.

Weakness moja kubwa sana ya vijana wa chadema hawapendi challenge kuhusu chama chetu kila mtu akihoji gamba lazima wajifunze siasa za kistaarabu na kuheshimu mawazo tofauti.kwamba hata viongozi wanaowapa heshima wanateleza wao sio malaika.
 
Mkuu Kinepi2, nakuunga mkoni 100% chini ya 100% Chadema kama chama kifanye uchunguzi huru kuhusu tuhuma hizo , ila kwa mujibu wa bandika lako, unaelekea uko one sided kutaka hao watuhumiwa ndio wachunguzwe na ikibainika ni kweli, waadhibiwe!, that is right!. Lakini pia, nao wanazotuhuma zao ndidi ya vingozi wapendwa wenu ambao kuna baadhi yenu mnawaabudu, jee uko tayari kuona "waabudiwa hawa wakichunguzwa?!", na ikikutikana ni kweli walipanga "njama" za kuhujumu na kudhulumu "roho" za watu, nao pia waandibiwe?!, hayo yote yakithibitika, will Chadema stand firm?!. Are you ready for the "consequences?!.
Pasco.

Mkuu Pasco nafikiri uko sawa ila kidogo natofautiana na hapa naona ni vema tukaa kaa kimya kwanza tukasubiri hiyo press tuone wamefukuzwa kwa sababu gani, hata kama sababu ni zile ambazo tulizizungumzia hapa za kuwatuhumu viongozi kama unavyoainisha hapo lakini huenda si ambalo limewakuta kwenye hatia hivyo nivema tukasubiri hiyo press.
 
Mkuu mimi naijua Tabora yote maeneo ya Bachu, Kanyenye, Ng'ambo, Chemuchemu, Hakuna Chadema. Vipi Meya Hotel bado wapo?

tabora unayoijua ww ya mwaka gani? kwa taarifa yako kuanzia rufita kwa rage mwenyewe njoo chemchem,mwanza road,isevya,nationalhousing,bachu, isevya,ipuli kote huko ccm inahemea mashine... jipange broo Mboka ya leo sio ile ya zamani!
 
Chadema,please kama mmekwishamsamehe Zitto basi wasameheni na wengine wote waliohusishwa na hizo tuhuma.Mkiendeleza mtindo wa kuonea vidagaa hamtakuwa na jipya.Hao wapeni adhabu ya kuwapa majukumu mazito ya kukijenga chama,watupeni vijijini.

unajua ni sababu zipi zimewangoa hao watatu? tafakali chukua hatua..Zitto anaweza kukwepa mtego huu, ila onyo lina mhusu na ikiwezekana kumvua naibu katibu..
 
Haya sasa waende mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama, si ndio ushauri waliokuwa wamepewa na chemba!
Mkuu Mwita, ndivyo katiba ya Chadema inavyosema?, tangu lini kikao cha chini hivyo kikawa na uwezo wa kumvua uanachama mwanachama?, kwa vile taarifa rasmi bado, bora na tusubiri, nategemea inasema "wamesimamishwa uanachama" kusubiri mkutano mkuu kuwavua uanachama!.

Sisi ambao sio Chadema, tukikutana na madudu ya aina hii kwa vikao kuchukulia maamuzi makubwa kinyume ya katiba, hutumia fursa hizi kukipitisha Chadema kwenye tanuru la moto, kikitoka salama, ni ama "chuma cha pua!", ama ni majivu na masizi tuu, hivyo ikulu kubaki kuisikia tuu!.
Pasco.
 
At list our effort haijawa wasted..wao wana waganga wa jadi sie tunae mungu lol!

Mkuu kweli ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwani hawa vijana walikuwa wameanza kupanda mbegu mbaya sana kwenye chama.
 
Mkuu TAYADI, yoyote anayehoji chochote Chadema ni lazima atakuwa gamba?!.
P.
Pasco, unaposoma michango ya aina mbalimbali unagundua na kuwajua watu vizuri!.. mdini utamwona, mkosoaji makini naye utamwona. Kwa mfano wewe sijawahi kukuita gamba, hata kama nimeona mchango wako. Watu Neutral, na wanaccm Kama MCHAMBUZI kila mtu anawathamini kwa hoja nzito wanazotoa, si ushabiki. Fuatilia hoja za huyo jamaa ukiungana nami kuwa ana-deserve quote unieleze.
 
Kuna tetesi kuwa makamu mwenyekiti mkuu wa Bavicha Juliana Shonza ataongoza maelfu ya vijina kutoka mikoa mbalimbali ambao ni wanachama na wafuasi wa chadema kujiunga na CCM hizo ni tetesi ambazo zinaukweli mkubwa ndani yake nazitajithibitisha zenyewe hivi pundeeeee.

atoe ujinga wake
 
Mkuu Mwita, ndivyo katiba ya Chadema inavyosema?, tangu lini kikao cha chini hivyo kikawa na uwezo wa kumvua uanachama mwanachama?, kwa vile taarifa rasmi bado, bora na tusubiri, nategemea inasema "wamesimamishwa uanachama" kusubiri mkutano mkuu kuwavua uanachama!.

Sisi ambao sio Chadema, tukikutana na madudu ya aina hii kwa vikao kuchukulia maamuzi makubwa kinyume ya katiba, hutumia fursa hizi kukipitisha Chadema kwenye tanuru la moto, kikitoka salama, ni ama "chuma cha pua!", ama ni majivu na masizi tuu, hivyo ikulu kubaki kuisikia tuu!.
Pasco.

Vyovyote iwavyo lakini hakuna mhuni yeyote aliyeshiriki kwenye kundi la uasi la Pindua Mbowe-PM7 atakayepona.Tutawafagia wote kama takataka zizolewavyo na kutupwa motoni.
 
unajua ni sababu zipi zimewangoa hao watatu? tafakali chukua hatua..Zitto anaweza kukwepa mtego huu, ila onyo lina mhusu na ikiwezekana kumvua naibu katibu..
Onea Dagaa hao kina Shonza@ Zitto ana damu yake katika chama hata Mtei anafahamu hilo au mnataka mkose ile misaada toka chama cha kidini cha Ujerumani chezea ZZK
 
Ingekua mimi ni M/kiti wale wote walioanzisha ile vagi nawatema tu,kuanzia huyo mamuya mpaka ben saanane, tulikua twawaona wakitumbua mabia woooooooote pamoja(mchange,saanane,mamuya,gwakisa,mwampamba) pale B bar sinza, nna wasi wasi mamuya kakosa 10% ya kitu flani ndo akaamua kuwachoma wenzie,hao wote wapigwe chini mana kama huyo mamuya angekua muadilifu angefuata protocal na kwenda kwenye ngazi husika za chama,lakini anaonekana nae anatafuta umaarufu kwa nguvu!
 
Mbona wanao omboleza humu jamvini ni cCM kuliko wenye chama?

Jamani magamba!
 
tabora unayoijua ww ya mwaka gani? kwa taarifa yako kuanzia rufita kwa rage mwenyewe njoo chemchem,mwanza road,isevya,nationalhousing,bachu, isevya,ipuli kote huko ccm inahemea mashine... jipange broo Mboka ya leo sio ile ya zamani!

Mwaka jana nilipita hapo Mboka, Uwaziri nilikuwa najichanganya vijiweni sehemu yangu ya chakula ilikuwa hapo Meya Hotel kwa vijana wa kiarabu.
 
Back
Top Bottom