Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

Prezzo akiachwa nitashangaa sana.
 
Kijana mbona unapenda kutumia lugha ya Jeuri hivi ninani anakupa jeuri hapo makao makuu ya chadema hadi kujua siri za vikao ambacho wewe c mjumbe?
I can imagine the impatience, the emotions, frustration,Desperation but please just relax!

Unapoandika vitu ambavyo muda mfupi ujao vitaonekana uongo hautaeleweka.Tusubiri press conference kuhusu maamuzi na Maazimio,Hii provocation lengo lake unataka ili nitamke chochote niwe nimetoa siri za vikao.sitamki na nakushauri uache upotoshaji,tulieni!

Stop being Desperate!
 
Kwakuwa wewe umeshajua na unataarifa na yaliyoamuliwa katika kikao ukiwa kama mmoja wa watuhumiwa wa PM7 huoni majibu au taarifa hiyo itakuwa bias kwa wajumbe wenzio wa PM7 mliosalitiana kwanini wasiseme Ben kapendelewa\?

Lengo lako ulitaka nitiririke kwamba nimehojiwa nini .Sitakua provoked hata iweje.Piga sarakasi zako tu
 
Go on....! Spit it!

Njoo na ID zenu rasmi.You need ventilation........
 
Naomba sana kama tunavyoshinikiza bunge, na watawala kujitakasa au kutoswa kwa tuhuma mbali mbali kikombe kile kile tukitumiacho kitumike sasa. Nategemea kusikia kila mmoja akishinikiza chama kufanya uchunguzi kwa aliyotuhumiwa nayo na aseme akibainika afanyweje na asipobainika mtoa tuhuma tutamchukulia hatua kali kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA.
Mkuu Kinepi2, nakuunga mkoni 100% chini ya 100% Chadema kama chama kifanye uchunguzi huru kuhusu tuhuma hizo , ila kwa mujibu wa bandika lako, unaelekea uko one sided kutaka hao watuhumiwa ndio wachunguzwe na ikibainika ni kweli, waadhibiwe!, that is right!. Lakini pia, nao wanazotuhuma zao ndidi ya vingozi wapendwa wenu ambao kuna baadhi yenu mnawaabudu, jee uko tayari kuona "waabudiwa hawa wakichunguzwa?!", na ikikutikana ni kweli walipanga "njama" za kuhujumu na kudhulumu "roho" za watu, nao pia waandibiwe?!, hayo yote yakithibitika, will Chadema stand firm?!. Are you ready for the "consequences?!.
Pasco.
 
Mtela
Juliana
Mchange
wote piga chini kudadadekiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!
 
Nani ana jeuri ya kuwaondoa PM7 wakiongozwa na Cobraa a.k.a BEN
Naamini Chadema ni chama makini!, "no one is indispensable!" ikigundulika kuna makapi, yute yatakuwa "disposable!", bila kujali nani ni nani!, japo Chadema kama chama kinakabiliwa na "double standards" za hali ya juu sana!. Aliposema fulani atakombea, alishukiwa kwa nguvu zote!, lakini alipotajwa fulani!, ni pongezi tuu kwa kwenda mbele!. Jee huo ndio utaratibu wa Chama?!, Kweli kwenye Chadema, kama ni ku..., a...ye kuku, aki... bata, ka ...!.
Pasco.
 
I can imagine the impatience, the emotions, frustration,Desperation but please just relax!

Unapoandika vitu ambavyo muda mfupi ujao vitaonekana uongo hautaeleweka.Tusubiri press conference kuhusu maamuzi na Maazimio,Hii provocation lengo lake unataka ili nitamke chochote niwe nimetoa siri za vikao.sitamki na nakushauri uache upotoshaji,tulieni!

Stop being Desperate!

Dah! Maneno mazito sana haya my Hero Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
Lengo lako ulitaka nitiririke kwamba nimehojiwa nini .Sitakua provoked hata iweje.Piga sarakasi zako tu
Mkuu Ben, thanks for the info, ile kujua tuu kuwa umehojiwa, ni faraja tosha, wala usiwe provocked kusema umehojiwa nini, ila mimi interest yangu kubwa ni kupata matokeo ya hayo mahojiano ili kuthibitisha lile la "sumu ya panya" na kama ni kweli ulimtaja yule aliyekutuma!.

By the way, nakumbushia tuu kuwa mimi sio Chadema, bali ni mwananchi wa kawada wa Tanzania, ambaye sehemu kodi yangu ninayoilipa, ndiyo inayotumika kuiendesha Chadema, hivyo "we have the right to know its public and private conduct!".
Na tukikuta la "sumu ya panya" limekuwa skipped!, "patachimbika!".
Pasco.
 
Mtela Mwampambaja, Juliana Shonza na Habib Mchange wamevuliwa uanachama wa chadema huku wengine wakipewa onyo KALI

Source Chadema Diaspora FB
 
&t
Naamini Chadema ni chama makini!, "no one is indispensable!" ikigundulika kuna makapi, yute yatakuwa "disposable!", bila kujali nani ni nani!, japo Chadema kama chama kinakabiliwa na ;double standards" za hali ya juu sana!. Aliposema fulani atakombea, alishukiwa kwa nguvu zote!, lakini alipotajwa fulani!, ni pongezi tuu kwa kwenda mbele!. Jee huo ndio utaratibu wa Chama?!, Kweli kwenye Chadema, kama ni ku..., a...ye kuku, aki... bata, ka ...!.
Pasco.

Kaka Pasco hebu usituchanganyie habari coz ishu hapa ni msalia tu na si kingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom