Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

Masalia (PM7) wakalia kuti kavu ndani ya CHADEMA...

Hilo lilikuwa lipo wazi uwezi kupingana na Dr Slaa na Mbowe ukapona. Zitto naona wamemshindwa.
 
Sasa hawa kweli waj.nga. Wenzao kina kisandu waliwahi mapema ili aibu isiwafike. Wapeni pole.

Mwamshe mwenzio Tanzania ishauzwa hii.
 
Naamini Chadema ni chama makini!, "no one is indispensable!" ikigundulika kuna makapi, yute yatakuwa "disposable!", bila kujali nani ni nani!, japo Chadema kama chama kinakabiliwa na "double standards" za hali ya juu sana!. Aliposema fulani atakombea, alishukiwa kwa nguvu zote!, lakini alipotajwa fulani!, ni pongezi tuu kwa kwenda mbele!. Jee huo ndio utaratibu wa Chama?!, Kweli kwenye Chadema, kama ni ku..., a...ye kuku, aki... bata, ka ...!.
Pasco.

MKUU PASCO kila cku zinavyokwenda mbele tunazidi kuujua ukwel na umahili wa kusimamia haki...aliposema fulan anataka kugombea urais vilembwe,vining'ina,vitukuu,vikongwe n so on waliripuka kukemea na kusema".....haraka ya nini???" lkn wale wale wanashangilia kitu kile kile kwel k...ny.....bata a....kuku kahaara...chadema hakuna hakiiiiii
 
Kwa kweli two minths ago nilikuwa nawashimu sana hawa jamaa. Leo nitafungua Shampaign
 
Hilo lilikuwa lipo wazi uwezi kupingana na Dr Slaa na Mbowe ukapona. Zitto naona wamemshindwa.
nadhani tatizo la hawa jamaa waliofukuzwa ni kwamba wao wanaponda uongozi, zitto hajawahi sisima ama post kitu against uongozi wa chama... ye alikuwa undercover tu
 
nadhani tatizo la hawa jamaa waliofukuzwa ni kwamba wao wanaponda uongozi, zitto hajawahi sisima ama post kitu against uongozi wa chama... ye alikuwa undercover tu

Mkuu kuna watu humu wanatuambia Zitto ndiyo TUNTEMEKE.
 
Mkuu samahani lakini hivi wewe una cheo gani Chadema Tabora?

Walau nikalale sasa maana sijalala tangu jana kuhakikisha wahuni hawa walioanzisha uasi wa kumpindua Mbowe-PM7 wanafukuzwa uanachama.Hatimaye kazi imekamilika

Natoa onyo kali kwa vibaraka waliobaki kwamba their days are numbered.
 
Mkuu Molemo,
Vipi Zitto naye mmempiga chini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna watu humu wanatuambia Zitto ndiyo TUNTEMEKE.

kuliko kukaa humu kujaza jaza comments zisizo na mashiko ni bora ungekaa home na mashosti wenzako mkacheza na kuimbiana mipasho ya kugombea mabwana
idiot
 
Subirini taarifa ya chama, mnaharaka ya wapi?

Kama taarifa za kikao mliarifiwa kwanini sasa mnahangaika na taarifa za yaliyojiri?

Vuteni subira kila kitu kitakuwa peupe!
 
Hakuna sikitiko wala maumivu kwa wasaliti kupatiwa haki yao. Hata hivyo walikuwa wamevumiliwa sana tena muda mrefu sana kwa matarajio kwamba wangejirudi lakini bahati mbaya ndio wakazidi kuota mapembe.

Haya sasa waende mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama, si ndio ushauri waliokuwa wamepewa na chemba!
 
Watolewe waende zao Lunch Time Hotel waka tafute modality.
 
Back
Top Bottom