Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
kuna masai mmoja morani alinunua chupi mpya na ilikua siku yake ya kwamza kuvaa na akaanza safari kwenda kwao longido.gari lilipofika kati ya safari watu wakaambiwa wachimbe dawa na masai nae akaenda kuchimba dawa akavua chupi yake akatundika kwenye mti.honi ilivyopigwa masai akakimbia kwenye gari akaacha chupi.kufika akaa mbele kiangalia abiria.watu kodo wanashangaa masai nyeti nje.kuona hivyo akapayuka na kusema mnashangaa hii moja ninazo kumi kwenye bag........