Masai dada umebadilika

Masai dada umebadilika

Mkuu MUSSOLIN umepata wapi kibali cha kumuanika huyu mrembo mbele ya kadamnasi.....??.......
 
Last edited by a moderator:
Wadada wa hivyo huwa wanautesa sana mtima wangu......naweza hata kuhonga phoenix yangu mpyaaa......maana utamu wao umepitiliza......
 
hHaha mpwa angalia usije ukazidisha chenji huko

Hahahahahaaaaa tuache utani bhana, wanawake wembamba ni watamu sana sana sio kwamba ni uvivu wa kucheza na lile kubwa, hapana!! Ila ni watamu mno hutasikia akisema unaniumiza!!! Mmmgh ngoja ninywe chai kwanza
 
kwi kwi kwi kwi

nime imagne....ngoja tu niamke
 
zaidi ya phonex una nini
ROHO YAKO NINI????
hahahah
Zaidi ya phonex...ninamiliki dushe linalosimama bila mkuyati...bila kusahau godoro na kitanda na ndoo mbili za maji....sufuria mbili za kupikia na jiko la mchina..............suruali mbili za jinzi na moja ya kitambaa kwa ajili ya safari za heshima....mashati mawili na fulana moja.....ooooh nilitaka kusahau pia na mswaki wa blue....
 
aisee hongera
una ngombe ngapi wewe?
 
Back
Top Bottom