Kuweni makini
Masai mmoja mwenyeji Wa karatu, kapandishwa mwendokasi akiwa na lengo la kufika Arusha, masai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la kimara baada ya kuambiwa watu wote kuwa basi letu limefika mwisho, hapo ndo akaanza kuhoji eti rafiki kwani hii Arusha imefika, baada ya kujibiwa hii haiendi Arusha; ndo akaanza kuwaka kwa kudai ile kijana ubungo nimeilipa 35000/= na kunileta Kwa hii basi yao Mpya! Sasa hii inatangaza imefika mwisho ...kwani hii Arusha?