Masahihisho Kwenye Umri Wangu.

Kutokana na sababu hiyo ya ujinga wa AKINA MAMA kutofahamu siku ya kukonceive, basi na tuhalalishe DOB iwe ndo UMRI WA MTU!(ooh..gosh!).........Lakini, kwa kuweka sawa mambo, kila mtu na ajue hilo, kwamba ana umri zaidi ya ule anaodai kuwa nao, tusijionee huruma bila sababu!...Tusikatae na hilo wakuu!
 
Sidhani kama ni sahihi kuanza kuhesabu umri wa mtu toka siku ya ujauzito kwani mimba siyo mtu ndio maana kwa lugha ya kigeni utasikia kuna kitu kinaitwa zygote and not a child or a person. Umri wa mtu ni halali kuanza kuhesabiwa toka anapozaliwa kwakuwa ndio anakuwa anatumia pumzi ya kwake mwenyewe. Na ndio maaana utasikia mimba imeharibika au binti fulani katoa ujauzito wake extra, hii inamaanisha kuwa mtu anaanza kuhesabika kama hai na anayejitegemea toka siku anazaliwa. Asante PJ
 
Me nasema katika miezi yote mtoto yuko tumboni mwa mama yake hupumua tumia system ya mama yake na pale atokapo tumboni mwa mama yake ndipo anapo anza kupumua hii hewa ya mungu live sasa hapo ndipo twaanza kumwesabia umri wake huku duniani na sio kuanzia tokea mimba ilipotungwa.
 
Unajua nawashangaa sana....Mambo ya kupumua hewa ya Mungu yanatoka wapi nyie?....Uhai ni uhai regardless of wapi yule mtu yupo!Mambo ya kusema...sijui ZYGOTE, EMBRYO, LARVA, yanaingia vipi hapa, the thing is whatever that it might be, kinakua na kuongezeka na kuchukua umri, Kuzaliwa ni mojawapo ya hatua tu za mwendelezo wa maisha yake!..huh!....Kwamba wengine wanazaliwa na miezi 7, wengine 8,9,10,11 etc, hiyo pia sio hoja, maana mtu husika ataongezewa ile miezi husika aliyozaliwa nayo-..sijasema wote wapewe miezi tisa!....................Nisaidieni hapo muelewe pamoja na mimi!
 
Kutokana na sababu hiyo ya ujinga wa AKINA MAMA kutofahamu siku ya kukonceive, basi na tuhalalishe DOB iwe ndo UMRI WA MTU!(ooh..gosh!).........Lakini, kwa kuweka sawa mambo, kila mtu na ajue hilo, kwamba ana umri zaidi ya ule anaodai kuwa nao, tusijionee huruma bila sababu!...Tusikatae na hilo wakuu!

PJ tutake radhi dada zako. sidhani kama akina mama peke yao ndo wanalazimika kujua siku ya ku-concieve, hata responsible baba anapaswa kujua siku za mzunguko za mkewe ili kwenda sambamba. kwa hiyo ni UJINGA wa WAZAZI, sio mama peke yake. Tena afadhali wamama ni wajinga wa kutujia siku ya ku-conceive, wababa wengi hawajui siku za kuzaliwa za watoto wao, aibu sana.
 
Wadau, napenda kuuliza swali baada ya maelezo yafuatayo!

Mtoto anaanza uhai toka siku ya kwanza anatungwa mimba, hili bila shaka halina ubishi.

Anakua hadi umri wa miezi 9(with more or less) na kuzaliwa.
Kwanini akizaliwa tunafuta umri wake alioishi tumboni akiwa hai, na kuanza kuhesabu siku 1 nakuendelea?
Kwanini tusingeendeleza ile miezi tisa ili tuwe na umri sahihi wa mtu?

Unajua kwamba mtu yeyote anakuwa na umri aujuao yeye, plus miezi 9ambayo haisemwi?

Kwanini inafanyika hivi?

Mtoto aliyeko tumbo anaanza kuhesabiwa mtu pale anapokuwa na uwezo wa kuweza kuzaliwa yaani miezi tisa au siku chache kabla ya hapo ( a baby or infant ready to be born). Ndo maana wanaotoa mimba hawashitakiwi kwa mauaji bali kwa kuharibu mimba.
 
Wadau, napenda kuuliza swali baada ya maelezo yafuatayo!

Mtoto anaanza uhai toka siku ya kwanza anatungwa mimba, hili bila shaka halina ubishi.

Anakua hadi umri wa miezi 9(with more or less) na kuzaliwa.
Kwanini akizaliwa tunafuta umri wake alioishi tumboni akiwa hai, na kuanza kuhesabu siku 1 nakuendelea?
Kwanini tusingeendeleza ile miezi tisa ili tuwe na umri sahihi wa mtu?

Unajua kwamba mtu yeyote anakuwa na umri aujuao yeye, plus miezi 9ambayo haisemwi?

Kwanini inafanyika hivi?

Yes, lakini huulizwi umetungwa mimba lini. Ila unaulizwa ulizaliwa lini. so umri wako katika hali ya kawaida unahesabiwa kuanzia siku ulipozaliwa. Hii inawezekana julikana mpaka dakika. Siku ya kutungwa mimba ni lini?
 
Unajua nawashangaa sana....Mambo ya kupumua hewa ya Mungu yanatoka wapi nyie?....Uhai ni uhai regardless of wapi yule mtu yupo!Mambo ya kusema...sijui ZYGOTE, EMBRYO, LARVA, yanaingia vipi hapa, the thing is whatever that it might be, kinakua na kuongezeka na kuchukua umri, Kuzaliwa ni mojawapo ya hatua tu za mwendelezo wa maisha yake!..huh!....Kwamba wengine wanazaliwa na miezi 7, wengine 8,9,10,11 etc, hiyo pia sio hoja, maana mtu husika ataongezewa ile miezi husika aliyozaliwa nayo-..sijasema wote wapewe miezi tisa!....................Nisaidieni hapo muelewe pamoja na mimi!

Sasa mpwa kama ilivyo desturi yetu ukiniuliza swali nami nakuuliza swali!

Mwanadamu huanza kutambuliwa akiwa tumboni mwa mama yake au? akisha zaliwa?

Jibu kwanza then nkupe maelezo sawa sawia kuhusu umri wake kufidiwa au la

Nimegundua kitu hapa...Watu wana hofu na umri!...huh!.............Kwanini tuogope kuonekana wa umri wetu sahhihi?...uNNECESSARILY skeptical of the truth!

UMRI WANGU SAHIHI NI TOKA SIKU NIMEZALIWA...wengine hatupendi kujua time gani na which place our parents conceived us... i dont wanna go there :rolleyes: so let it be pls
 
Kutokana na sababu hiyo ya ujinga wa AKINA MAMA kutofahamu siku ya kukonceive, basi na tuhalalishe DOB iwe ndo UMRI WA MTU!(ooh..gosh!).........Lakini, kwa kuweka sawa mambo, kila mtu na ajue hilo, kwamba ana umri zaidi ya ule anaodai kuwa nao, tusijionee huruma bila sababu!...Tusikatae na hilo wakuu!

Kipimo kinachotumika duniani kupima umri wa mtu ni kuanzia siku aliyozaliwa(aliyoanza kupumua kwa kutumia mapafu yake) sasa kama unapendekeza mabadiliko ya utaratibu huu peleka hoja yako kwenye vyombo husika, au kila unapomuuliza mtu umri uongeze na miezi aliyokaa tumboni ili uweze kujiridhisha hilo nalo unaweza kulifanya kama litakua rahisi kwako..! vinginevyo sioni kufanya hivi kutatuongezea nini??? au kuhesabu miaka kwa desturi tuliyoizoea kunatupunguzia nini??
 
Kwani uhai unaanza baada ya conception? Mi anfikiri swali zuri la kujiuliza sio kuhusu umri bali ni kuwa "when does life starts" "when does personhood starts? hapo ndo kutakuwa na msingi wa kuanzia haya mawazo kwani kuna concept nyingi sana kuhus hili:

Conflicting beliefs about when personhood starts:

It happens at conception -- the most common pro-life position

It happens when blood first appears
-- a new interpretation based on the Bible Leviticus: 17: 1:14

It happens later in pregnancy -- the most common pro-choice position

It happens at 14 or 22 weeks gestation -- two novel arguments

It happens during childbirth
-- the traditional Jewish position

So far arguments kama hizi ndizo zinazopelekea kuwe na mgongano ktk nchi zinazoruhusu utoaji mimba kuwa ni muda gani hasa iwe ni limit kwa legal abortion?

Sasa linapokuja swala la umri ni lazima kwanza ujue nini maana ya umri? Je umri unahesabika kuwa ni baada ya kuzaliwa? Je umri na uhai ni viwili vilvyo sawa au la?

My stand is hii ni makubaliano na ya huko zamani na sisi tumepokea kama mapokeo so far the whole topic of when does life starts is still confusing na kama life and age are the same hap ni shida pia
 
Kipimo kinachotumika duniani kupima umri wa mtu ni kuanzia siku aliyozaliwa(aliyoanza kupumua kwa kutumia mapafu yake) sasa kama unapendekeza mabadiliko ya utaratibu huu peleka hoja yako kwenye vyombo husika, au kila unapomuuliza mtu umri uongeze na miezi aliyokaa tumboni ili uweze kujiridhisha hilo nalo unaweza kulifanya kama litakua rahisi kwako..! vinginevyo sioni kufanya hivi kutatuongezea nini??? au kuhesabu miaka kwa desturi tuliyoizoea kunatupunguzia nini??
MM,ni vyombo gani vinahusika na hii ishu?Ni mimi na wewe,wala si chombo chochote cha dola
 
Back
Top Bottom