In a Typical Pregnancy: For a woman with a regular period, conception typically occurs about 11-21 days after the first day of the last period. Most women do not know the exact date of conception, and their conception date is merely an estimate based on the first day of their last period.
Special Cases: Women who undergo special procedures such as artificial insemination or in vitro fertilization typically know the exact date of conception.
Hiyo wala si ishu kama tutaamua kuhesabu icluding umri wa tumboni!Ni jambo tata sana kusema umri uanze pale mimba inapotunga. Kuna watu wanakuwa na mimba siku kadhaa au hata miezi bila kujua ni wajawazito. Labda mtoa mada atupe kigezo kinachoweza kutanbua siku ya kutunga kwa mimba.
Issue ipo pale pale.............. kwamba hii ni miezi tisa.unaanza kuhesabu tota lini...??? maana wengine inaonekana wanazaliwa na miezi saba na wengine mpaka miezi 16............Hiyo wala si ishu kama tutaamua kuhesabu icluding umri wa tumboni!
Itakuwa ni rahisi- yaani mtu anazaliwa, tayari ana miezi 9, then aendeleze kuanzia pale...!
Hiyo wala si ishu kama tutaamua kuhesabu icluding umri wa tumboni!
Itakuwa ni rahisi- yaani mtu anazaliwa, tayari ana miezi 9, then aendeleze kuanzia pale...!
Wanauliza tarehe ya kuzaliwa. Hii huwa ni safi kwani wengine huzaliwa baada ya miezi 6, 7, 8 na wengine hadi 10. Sasa kipi kitumike kama standard?
Pia ingelikuwa hivyo, ingelibidi swali liwe "date of conceive". Tatizo hii tarehe kuwa wanawake wengi duniani huwa hawafahamu. Sasa utafahamu vipi kuwa ulitungwa mimba siku fulani kiasi kwamba una miezi tisa kweli na siyo miezi 8 na siku 23 na robo?