Masada kufungua kinga'amuzi kinacho tumia laini

kipedo

Senior Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
166
Reaction score
84
Wana jukwa leo nimeletewa zawadi ya king'amuzi kinacho tumia laini internet pamoja na dish sasa kufungua nipate chaneli imekuwa inshu nime search nimepata channels 3900 sasa azifunguki msaada
 
Taja aina ya decoder, weka na picha

ukiweka hizo taarifa utafunguliwa
 
Tatizo sio dicoda eleza unataka channel zipi na umtafute fundi akufungie juu ukitumia kwa dstv,azam au startime packeg lazima ziwe scrambo. Pia elewa dicoda nyingi kama hizo ni kwa ajili ya Fta kwa hio hutumiaka kwa feed hivo lazima uwe na dish kuanzia ft 8 kwenda mbele ndo utainjoi la sivo utapata channe za kinaija tu kwa ku band

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Mleta Mada Jau Sana Kaeleza Kama Wote Kwake
 
Tatizo sio dicoda eleza unataka channel zipi na umtafute fundi akufungie juu ukitumia kwa dstv,azam au startime packeg lazima ziwe scrambo. Pia elewa dicoda nyingi kama hizo ni kwa ajili ya Fta kwa hio hutumiaka kwa feed hivo lazima uwe na dish kuanzia ft 8 kwenda mbele ndo utainjoi la sivo utapata channe za kinaija tu kwa ku band

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
poa sasa nita mpata uyo fundi tushaurianen
 
Hivi ni vile vidude vinavyotumia cccam account vinafungua channels nyingi za DStv kitambo hiko sijui kama bado vinafanya KAZI.
 
Wana jukwa leo nimeletewa zawadi ya king'amuzi kinacho tumia laini internet pamoja na dish sasa kufungua nipate chaneli imekuwa inshu nime search nimepata channels 3900 sasa azifunguki msaada
Si ungemuuliza huyo aliyekuletea hicho king'amuzi kinatumikaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom