MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jul 25, 2012 #2 Huyo dada alolala mchangani hapo....asije akaparamiwa.
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Jul 25, 2012 #3 Huyo dada alolala mchangani amekumbwa na tatizo wewe unasema ni fashen?
funzadume JF-Expert Member Jan 28, 2010 13,559 21,040 Jul 25, 2012 #4 huyo kwenye mchanga mbona kama jini mahaba la pwani
N ngokowalwa Senior Member Jul 22, 2011 154 23 Jul 25, 2012 #5 MadameX said: Huyo dada alolala mchangani hapo....asije akaparamiwa. Click to expand... Je kama ndo anachokitaka
MadameX said: Huyo dada alolala mchangani hapo....asije akaparamiwa. Click to expand... Je kama ndo anachokitaka
Kyaiyembe JF-Expert Member Dec 1, 2011 1,706 665 Jul 25, 2012 #6 Huyu msanii aliyekusanya mchanga mpaka ukawa na umbo la binti ni NOMAAAAAAAAAAAAAAAAA!.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,505 86,054 Jul 25, 2012 #7 Duh, kumbe kweli eeeh kuwa Kuna watanzania wana "maumbile" makubwa sana kwahio sio sahihi kuvaa kanga ndembendembe ( Mama Lwakatare)
Duh, kumbe kweli eeeh kuwa Kuna watanzania wana "maumbile" makubwa sana kwahio sio sahihi kuvaa kanga ndembendembe ( Mama Lwakatare)
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Jul 25, 2012 #8 duh! kwenye hapo kutamanisha wenzenu.