masaada wakuu

charle

Member
Sep 17, 2011
9
0
ninasimu yangu aina ya iphone 4 alikuwa akitumia dada yangu alipokuwa anasoma huko nje ya nchi lakini baada ya kufika hapa Tanazania akiweka line inakataa inasema no simcard nifanyeje jamani ili niweze ku unlock jamani
 
cmu za nje huwa zinatumia line za cdma technology,hapa kwetu ni gsm,global service for mobile communication,jaribu kuangalia kama ina settings ya kuswitch from cdma to gsm.thats all i could think of.
 
inaandika NO simcard au No service? kama No simcard itakuwa na tatizo katika kusoma line au itakuwa kama alivokwambia jamaa apo juu, huenda ikawa sio CDMA
 
ni pm nikupe details za kutatua ishu hiyo..

Back
Top Bottom