Masaa 24 yameshapita

DAB hawezi kutolewa kafara ataondoka na aliyemtuma.
 
Hii hapa ni nini, rais katoa rambirambi mapema sana jana asubuhi. Achana nao hao wanaopenda mashindano. Sisi tunabaki kimya. Kukaa kimya nako huwa ni jibu tosha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAB hawezi kutolewa kafara ataondoka na aliyemtuma.
Dalili zote zinaonesha hili kutokea, maana sweden kukata misaada kwa asilimia 75% kwa muda wa miaka ijayo inamaanisha wameona utawala huu misaada wanayopewa hawaitumii kukidhi mahitaji ya raia wake.

Hivo ni SMS kwetu raia either tuuchague utawala huu tena kwa miaka 5 ijayo (tusisaidiwe) au tuchague utawala mwingine ili tusaidiwe.

Na ikifikia uchaguzi kukaribia mwaka huu, nchi za nje ndio wataongeza "PRESSURE" zaidi kwetu tanzania.
 
Watu wako Busy na kazi, isipokuwa nusa nusa wanatafuta kusikia kile wanachokitaka.
 
DAB na anayemtuma wana kiapo cha damu, watabaki wote au kuondoka wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…