Masaa 24 yameshapita

Naomba Niipongeze serikali kwa kimya hiki.. Hili sio jambo la kukurupuka tena... Hata kidogo... Kuna mlolongo wa matukio yatafuata baada ya hili... Hivyo linahitaji muda wa kutosha weledi na hekima kwenye kulitolea tamko
Jr
 
Wamarekani wamesema wanazo taarifa za kutosha kuwa BASHITE ndio kiongozi wa watekaji na wapotezaji watu sasa unategeme nani aongee hapo
USA akisema ana ushahidi wa kutosha ujue hatari. Nadhani Serikali walikuwa relax hakuna uchunguzi wa nje kumbe jamaa kimya kimya. Na kawaida USA hapo ubalozini majasusi kibao na utakuta hata huku watumishi wa serikali kuna informers. Utajibu nini lazima ukae kimyaa labda umalize chinichini kuwa tufanyeje? solution watatoa USA wenyewe.
 
Naomba Niipongeze serikali kwa kimya hiki.. Hili sio jambo la kukurupuka tena... Hata kidogo... Kuna mlolongo wa matukio yatafuata baada ya hili... Hivyo linahitaji muda wa kutosha weledi na hekima kwenye kulitolea tamko

Jr
Ulichosema ni kweli kabisa, hili tamko ni kama kikohozi cha kuweka sawaa koromeo kabla ya kuanza kuongea
 
Duh!
Hapa makonda hachomoki, makosa aliyoyafanya yanachukuliwa Kama uvunjwaji wa peremptory norms (jus cogens), na kibaya zaidi ni kwamba: offenders of Peremptory norms are enemies of all mankind (hostis humani generis).

Kifupi ni kwamba makonda ameshakuwa adui wa dunia.

alichokifanya US ni maandalizi tu, mziki wenyewe unafuata!

Stay tuned!
 
Kwani serikali imetuhumiwa Nini? Ingekuwa NI wewe ungejibu Nini?
Serikali inawajibu wa kulinda uhai na haki ya raia wake, kama watu wanatekwa, kupotea na kuuwawa na mwenye wajibu wa kuwalinda amekaa kimya inadhani bado haina tuhuma?
Na kutuhumiwa siyo lazima waitaje kuwa serikali imrfanya hivi au vile kitendo cha kiongozi wake kutuhumiwa tayari ni serikali imetuhumiwa.
So wanajua wanachotakiwa kujibu ww kama hujui nyamaza
 
Naomba Niipongeze serikali kwa kimya hiki.. Hili sio jambo la kukurupuka tena... Hata kidogo... Kuna mlolongo wa matukio yatafuata baada ya hili... Hivyo linahitaji muda wa kutosha weledi na hekima kwenye kulitolea tamko

Jr
Mshana hofu yangu hawa US tukiwaletea ujuaji wanaweza kutuletea undava tuka sambaratishana wenyewe.
Imagine wanatoa picha za setelite zikimuonyesha Oclock-8 kapigishwa magoti mbele ya kiti cha enzi huku pembeni Paulo kasimama na mjeledi tutasemaje zaidi ya kuchukiana zaidi?
 
Hii miaka 6 ya jiwe watu tutanyooka kama rula, bado ARV kwa hisani ya watu wa marekani, Ngo's za afya ndo kibao, wakati ata essential medicine zimetushinda kununua kila hospital ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaona statement kutoka Ikulu? Du ukiwa pinga pinga ni lazima uazime ubongo wa nyumbu walai..
 
ni vema sasa; au magufuli, au waziri wa mambo ya nje au makonda mwenyewe asimame na kuiambia dunia ukweli. U.S.A sio mjinga kiasi hicho. suala hili sio tu linamgusa makonda lakini linamgusa rais kama taasisi lakini pia ni doa baya sana kwa nchi yetu na mfumo mzima wa uongozi/utawala. inaonesha ni namnagani viongozi wetu wanavyotumia madaraka vibaya kunyanyasa raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…