Hakuna wingi wa saa.Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Hivyo andika tu .. Saa 24 ndani..........
Hii ndiyo faida mojawapo ya Jf.
Unajifunza kila fani.
Hakuna wingi wa saa.Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Uko poa
Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.
Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.
Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Nimemuona bonge la Phaller huyo raia, anatafuta attention kwetu halafu anakuja tena anatusagia tena kugeuza nyekundu kuwa njano???🤣🤣🤣No kutongoza kawaida , mimi pia natongoza mno pm mkuu😅
Unamchukulia kawaida tu halafu ,upendo unabaki mahali pake mkuu😊Nimemuona bonge la Phaller huyo raia, anatafuta attention kwetu halafu anakuja tena anatusagia tena kugeuza nyekundu kuwa njano???🤣🤣🤣
NakaziaKwa jina la "Mshangazi" wewe mwenyewe unataka kutongozwa.
Kabisa mkuu hii code hata mimi nimeifungua japo ni kilaza😆Nakazia
Huyu n mkongweKabisa mkuu hii code hata mimi nimeifungua japo ni kilaza😆
Tunaelewa ila tunavunga tu mkuu😆Huyu n mkongwe
Aaaaaah naona naona mshangazi anatafuta kijana ...Hivi dogo Poor Brain umeuona huu uzi ? Wa Mshangazi ???
Bora umekuja King wa mishangazi 😆Aaaaaah naona naona mshangazi anatafuta kijana ...
😂😂😂😂
Ila anatumua njia flani hvi ambayo wataalamu tumeelewa
Mkuu mi nipo sana tu l...Bora umekuja King wa mishangazi 😆
Unamwonaje huyu mshangazi Mkuu?Mkuu mi nipo sana tu l...
Sema shangazi kanibana mnoooo.
😂😂😂😂😂
Mkuu kwani upweke ni nini?Kwahiyo hapo sitarajii nyuzi za akina Andazi mara ooh mm ni mpweke mara ooh sina demu HATUTAKI mada za ivo saivii
Anapitia upepo wa waliolazimika kujisajili baada ya kuview post kadhaa bila kuwa na akaunti.Tunaelewa ila tunavunga tu mkuu😆
Mshangazi hata avatar yake haivutii, binafsi siwezi mfuata kamwe😅😅😅Anapitia upepo wa waliolazimika kujisajili baada ya kuview post kadhaa bila kuwa na akaunti.
Sizani kama anajiamini...Unamwonaje huyu mshangazi Mkuu?