Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Masaa 24 ndani ya JF (Personal opinion)

Sizani kama anajiamini...
Na yote haya kwa kuwa hana zile T tatu tatu...
Yaani Tako,Titi na Tumbo...

Hivo kiufupi ni local antiel ambaye anataka vijana wamfate serious sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu sina cha kuongeza , ukisema wewe kuhusu mishangazi hakuna mjadala tena😅
 
Ni kama miezi 3 kwenye social networks nyingine.

Ila JF vivulana vinatongoza sana PM.

Ni kama vimetumwa kunijaribu.
Kwa anonymity Ids shangazi unatukosea sana adabu kwa kusema uongo.

Utamjuaje mtu kuwa ni mvulana bila kuwa na utambulisho wake rasmi?

Au shangazi umeamua tu kuwachokoza nyuki ili uone kama wanang'ata?
 
Back
Top Bottom