marystella minja kafikia wapi

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Juzi tuliona jinsi mwakyembe alivyokurupuka na kuwakamata kina marystella minja kuwa wameiba sijui bandarini
Ukweli ni kwamba nilivyoona ile habari nikagundua kuwa kuna watu wamechoma ile inshu , nikagundua kuwa wale kina dada ni dagaa tu leo naomba kuuliza wamefikia waoi kesi yao? Kuna mtu mwenye news zozote?
 
Mara Mwakyembe alikurupuka mara wale wadada ni dagaatu. Kifupi ni kwamba, ukikamatwa na ngozi wewe ndo uloiba mbuzi. Na hata kama wametumiwa hilo ni lao pia. Navyofahamu mhasibu wa ukweli kawezi futa digit moja mbele hata. Hawa wanajifunza.
 
Duh Marystelle Minja keshakuwa Celeb hata kuanzishiwa thread!!Kumbe umaarufu unaweza kuja hv hv bila ya kutumia nguvu.Kalikuwa kadem poa sana pale Peugeot House Barclays.
 
Back
Top Bottom