S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 Feb 15, 2011 #61 natamani tukutane woote na wake au waume zetu,kiingilio password zetu za JF,kuna watu tutashangaana:laugh::laugh::laugh:
natamani tukutane woote na wake au waume zetu,kiingilio password zetu za JF,kuna watu tutashangaana:laugh::laugh::laugh:
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Feb 15, 2011 #62 Dah!!Mwoneeni huruma kidogo jamani!!!:twitch:
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,242 Feb 15, 2011 #63 Dah!Punguzeni jamani kumchambua kama karanga..utafikir nyie ni kina Cleopatra kwa uzuri.....
Drifter JF-Expert Member Joined Jan 4, 2010 Posts 5,369 Reaction score 5,512 Feb 15, 2011 #64 Ndo uzuri wa picha. Naona baadhi ya wakuu waliokuwa wakali sana kwenye jukwaa la siasa hapa wamelegea. Labda itasaidia pia kupunguza madongo kwa muungwana anapopanga safu zake za wakuu wa wilaya kwa vigezo hivyo! :bump2:
Ndo uzuri wa picha. Naona baadhi ya wakuu waliokuwa wakali sana kwenye jukwaa la siasa hapa wamelegea. Labda itasaidia pia kupunguza madongo kwa muungwana anapopanga safu zake za wakuu wa wilaya kwa vigezo hivyo! :bump2:
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Feb 15, 2011 #65 :sick:Sijampenda hata kidogo ,Carmel alivyosema ni mshamba hajui kupangilia viwalo vyake ,na ndio maana hajui kuchagua maneno ya kuongea :sick:
:sick:Sijampenda hata kidogo ,Carmel alivyosema ni mshamba hajui kupangilia viwalo vyake ,na ndio maana hajui kuchagua maneno ya kuongea :sick:
C Chan Senior Member Joined Jan 3, 2011 Posts 116 Reaction score 20 Feb 15, 2011 #66 Makeke mengi kumbe mtu mwenyewe mshamba tu!
G georgelupembe Member Joined Jan 6, 2011 Posts 14 Reaction score 3 Feb 16, 2011 #67 anaitwa mary chatanda, ni kweli waliomtuma wana maelezo ya ziada lakini naye kabeba sehemu ya dhambi ya mauaji
anaitwa mary chatanda, ni kweli waliomtuma wana maelezo ya ziada lakini naye kabeba sehemu ya dhambi ya mauaji
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Feb 16, 2011 #68 mtu wa pwani said: kwa kweli ni mrembo wa haja Click to expand... macho yako yana matege si bure..
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Feb 16, 2011 #69 sasa ndo nani?
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,629 Reaction score 1,950 Feb 16, 2011 #70 Mbaya kaa ngozi fulani
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Feb 16, 2011 #71 she-male like candy ass,,
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,479 Feb 17, 2011 #72 huyu mdada ana umuhimu gani hadi azungumziwe kiasi hicho? amefanya nini?>
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,110 Jul 21, 2020 #73 Hongereni Korogwe